Wengine wanaigiza kabisa anafanya...ukimpa ndoa tu kila kitu Daaaaaaaadaaaaaaaaa Mpelekee baba maji ya kuoga...daaaaaaadaaaaa msongee baba ugali....daaaaaaaadaaaaaaa mnyoshee baba shati! Afu hg akiwa mke mwenza lawama kibaoUmeongea mawazo yangu kabisaaa...eti mtu anasema siwezi kufua nguo za boyfriend kwani mume wangu huyo? My dear mbona chupi unavua kwani mumeo huyo? Fanya kwa mapenzi tu sio kwa lengo la kuonekana waifu matirio maana hapo napo ukiachwa utaumia ulivyokuwa unainamisha mgongo. Unafanya kwaajili yako mwenyewe usikae sehemu chafu au kuwa na mtu mchafu.

Sent using Jamii Forums mobile app


