😀😀😀Mimi nilikuwa simfahamu demu mmoja wa Kenya anaitwa Huddah..
Sasa nikiwa naperuzi inst nikaona picha za demu mkali anapost, nikamfollow nikacheck picha zake aisee demu yupo bomba kichizi, nika m dm akajibu fresh kwa kuwa alikua alikuwa demu mkali akaniambia nipo wapi nikafake ili nimpate nikamjibu nipe State, akaniuliza wapi huko ni mkoa gani, dah nikasema mbona demu kama mkali halafu mjanja hajui State ni wapi, nikamwambia nipo Unyamwezi akaniambia kumbe wewe upo Tabora, akaniambia nisimsumbue tena, dah nikamwambia hapana nipo Unitee State Of America (Marekani) akajichekesha akaniambia utarudi lini nikamjibu kesho kutwa akaniambia nikirudi nimletee zawadi ya Iphone 5 nikamwambia poa,
Sasa kuja kudadisi nikaja nikangundua yule pimbi alikuwa anatumia picha za Huddah wa kenya, siku nimemwambia nipo bongo tukutane, akaniambia tukutane cocobeach, nilipo enda kumwona demu mwenye coco dah..
Sawa chiefHii ni chai
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie JF nzima naongoza kwa ubahili!..
Uoe mtu ambaye 60% ya mwili wake feki kwa hilo dau. Sina hio hela ila hata ningekuwa nazo kama Zuckerberg sichuki DivaHahaaa umenikimbusha miezi kadhaa ilopita aliweka dau la mahali kwa anaetaka kumuoa nilazma atoe ML500 baada ya hapo sikupata feedback yoyote
Mie JF nzima naongoza kwa ubahili!..
Kama mie nilivyo humu JF aiseee ni mdada/mmama wa kitajiri sana najua kizungu balaa
Ila maisha halisi utanikimbia kwa kushangaa ndo huyu jina kubwa JF
Aiseeee [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili ya Oxford iliyofanyiwa marejeo mwaka 2018 tolea namba 1 inatafsiri neno DIASPORA kuwa ni Raia aishie nje ya nchi yake kwa kubeba boksi kwenye masupamaketi, kuendesha matreka mashambani, kuzibua mitaro, kuoa/kuolewa na vikongwe wa nchi aliyopo, kujiuza (Kuwa kahaba wa kike au kiume), kufanya kazi za ndani (housemaid), na kazi zingine za kipato cha chini ambacho raia wa nchi aliyopo ni aibu kuzifanya.
ahahahahah nmecheka kinoma man"Aisee siwezi kuwa maskini online na offline.. tuheshimiane upande mmoja japo ni sawa na ndoto" by ~ instagram user.
Naona story umekatishaMimi nilikuwa simfahamu demu mmoja wa Kenya anaitwa Huddah..
Sasa nikiwa naperuzi inst nikaona picha za demu mkali anapost, nikamfollow nikacheck picha zake aisee demu yupo bomba kichizi, nika m dm akajibu fresh kwa kuwa alikua alikuwa demu mkali akaniambia nipo wapi nikafake ili nimpate nikamjibu nipe State, akaniuliza wapi huko ni mkoa gani, dah nikasema mbona demu kama mkali halafu mjanja hajui State ni wapi, nikamwambia nipo Unyamwezi akaniambia kumbe wewe upo Tabora, akaniambia nisimsumbue tena, dah nikamwambia hapana nipo Unitee State Of America (Marekani) akajichekesha akaniambia utarudi lini nikamjibu kesho kutwa akaniambia nikirudi nimletee zawadi ya Iphone 5 nikamwambia poa,
Sasa kuja kudadisi nikaja nikangundua yule pimbi alikuwa anatumia picha za Huddah wa kenya, siku nimemwambia nipo bongo tukutane, akaniambia tukutane cocobeach, nilipo enda kumwona demu mwenye coco dah..
Leo siku ya ushuhuda, we unaongoza nini?..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hujataka nitetea kabisa!?..🙁[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakazia nakazia
Fake it until you make it- BBC“Muda wako ni mdogo, usiupoteze kuishi maisha ya mtu mwingine.”
Steven Jobs
Lakini hata sie mahausiboi tunadunda JFMkuu sio insta tu hata JF siku hizi maisha ya hapa noma sana.
Kila mtu ni dingoo ana kimango chakutosha, kila mtu hapa JF anamilikia dinga kali kali.
Wengi hapa JF ni diaspora wako mambele huko wanafanya maisha hata ya kubeba boksi.
UMkuu nijulishe kama unalifahamu!
S. AKuna maneno mtu kama hauyafamu waeza onekana Mshamba!
Jf ni madon tupu, wasomi wa UD, GPA kubwakubwa, wote wanajua mapenzi, hamna mwenye tecno woye wanaongea madini tupu mkuu. "za kuambiwa changanya na zako"