Vip mkuu ulikuwa na daraja siyo bureKipindi namaliza chuo niliajiriwa january mwaka 2014 sijawahi kaa nyumbani kivile ila sasa nakula bata sana sijui kama nitajenga aisehh maana kushika 800k kwa mwezi sijawahi kufikiria
ila acha nifikishe 30 hivi ndo ntatulia maana mapenzi yenyewe nimeyajua nikiwa na miaka 25 acha niendelee kukua
Mmh nini sasa ukawa unapata ngapi mkuu?Mi nilidhani niki graduate tu...salary net ntapokea Tsh5,000,000 per month!
Nilivyokuja kitaa mmhhh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
We acha tu alafu boom linapenda simu Kali na Laptop za mauzo .Binafsi najutia kuponda raha chuoni na pesa ya boom... maybe ningejibanabana kwa sasa ningekuwa hata na boda boda nakula vichwa kitaani...... ila mpaka sasa life la kitaa limenipiga fimbo si mchezo mavyeti nimeyafungia ndani....
Labda niwakumbushe vijana wenzangu mlioko chuo mkumbuke ku balance hilo boom life la kitaa ni zaidi ya chuo kikuu asikwambie mtu..... Yaani inshort ukija kitaa unaanza upya... maisha ya huku hayana ubishoo wa chuo...🙁🙁🙁🙁
Ongera sana mkuunikiwa mwaka wa pili chuoni niliapa haya ninayoyasoma sitaenda kuyatumia kama muajiliwa. nilihitimu 2013 hadi leo sijawahi kuandika barua ya kuomba kazi na namaoisha ya ujasiriamali yanaendelea bila stress na muulwa
Poa mkuuNi kweli mkuu waache tu waone kama natania
na ww ni graduate mkuu?Mi nilidhani niki graduate tu...salary net ntapokea Tsh5,000,000 per month!
Nilivyokuja kitaa mmhhh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app