Maisha ya Cape Town na masahibu ya wenye nchi

Assalaam ndugu zangu wana Jf,

Natumai baadhi yenu mko salama kabisa,na wale wenye maswahibu mbalimbali Mungu awafanyie wepesi Inshaa Allah.

Kwanza kabisa nitoe shukran zangu za dhati kwenu kwa michango ya mawazo mlionipa ktk nyuzi zangu zote zilizohusu safari yangu ya kuja huku SA Capetown kutafuta maisha.Hakika mlinisaidia sana,Mungu awajaalie.

Ni miezi saba sasa nakomaa na life LA Capetown na kwakweli licha ya changamoto mbali mbali namshukuru Mungu nipo salama na maisha yanakwenda bila vikwazo.

Dhumuni la Uzi huu ni kutaka kushare kauzoefu kadogo nilikokapata ndani ya nchi hii au mji huu wa Capetown kuhusu maisha ya wenye nchi.

Wenyeji wa Capetown ni wakhosa na ma coloured (warangirangi).
Kiukweli japo sijatembea nchi nyingi duniani lakini nathubutu kusema sidhani kama kuna nchi yenye RAIA wapumbavu kama SA!!
Nathubutu kusema hivyo kwasababu ya haya niyaonayo.Acha niwaelezee japo Kwa uchache..

Nianze na Wakhosa.
Hawa viumbe wengi wao wamepata muamko wa elimu hivi karibuni,Jamii hii Mara nyingi wanapatikana maeneo ya vijijini(location),ninaposema vijijini msinielewe vibaya kwakufansnisha vijiji vya SA na huko kwetu,huku lami ni kila kona,na nyumba nzuri zipo. huwezi Amini licha yakuishi ktk nchi hii ambayo inauchumi mkubwa barani Africa,lakini wengi wa RAIA hawa wanaishi kwenye vibanda vya mabati(Bangaloo).Sio kwamba hawana nyumba zakuishi,LA hasha..nyumba wanazo tena wanajengewa na serikali yao bureee!!!Ila wanapangisha halafu wao wanaishi kwenye mabangaloo!!!

Mnaosema eti watanzania ni wavivu sana,jamani tembeeni mjionee wanaostahili kuitwa wavivu.Raia wa nchi hii ni wavivu kupindukia kuanzia kimwili mpaka kifikra.
Hawapendi kujishughulisha Kwa lolote zaidi ya wizi na wivu dhidi ya wageni.
Baada yakuona wageni wanafanikiwa kupitia shughuli mbalimbali haliyakuwa wao wenye nchi wanaishi maisha ya tabu hatimae wakaanza kupiga raia wakigeni na kuilazimisha serikali yao kuwafukuza warudi kwao,au waondolewe kazini ili zile shughuli wazikamate wao!
Chaajabu serikali yao ikatii upumbavu wa RAIA wake na kuamuru makampuni yaliyo ajiri foreigners yawaondoe na waajiriwe wazawa!!Hebu ona upumbavu wa hawa wenye nchi,eti wameona wakimbizi wanafaidi kwakufanya kazi za ulinzi nao wameamua kuwa walinzi ktk nchi yao!!!
Chaajabu licha ya makampuni ya ulinzi kuwaajiri wenye nchi lakini unaambiwa hawafanyi kazi ipasavyo,wanafanya kazi pale tu wanapokuwa hawajapokea mshahara,siku wakipokea hawaonekani kazini mpaka hela iishe,ni pombe mwanzo mwisho.

Wakati watanzania huwa tunaunda vikundi vya michezo yakupeana pesa Kwa zamu ili kukwamuana kiuchumi,wenzetu wanavikundi vya kununuliana pombe Kwa zamu!!!

Maajabu mengine ni kwamba,miongoni mwa hawa jamaa.hawajui lugha ya kiingereza.

Hawajamaa hawanaga utamaduni wakutembea nje ya jimbo lao mfano anatoka Capetown kwenda Durban,Nilimuuliza mkhosa mmoja hivi umeshawahi kwenda Johannesburg? Akanijibu nikipata passport nitakwenda Lol!!

Hayo ni miongoni mwa machache tu,l kuhusu wakhosa,siku nyingine nitakuja na vituko vya hawa ma coloured NIMECHOKA,mwenye mangine aongezee.

BAHARIA KUNJANI WENA .

HAYA TUAMBIE UNAISHI WAPI

BAHARIA .UMENIKUMBUSHA NIWAZE MAENEO YA GUGULETHU, KHAELITSHA. LANGA ,NYANGA ,PHILIPI ,MANDALAY ,NOKBELO NA MENGINEO DUH WATU WEUSI NOMA SANA UKIZUBAAA WANAKUDUNGA MCHANA KWEUPE .WARANGI RANGI NDO HAWAFAI HATA DAKIKA MOJA . HAPA NAZUNGUMZIA 1996 SASA HIVI TUPO 2019 . USHAURI KWA WOTE USIWAZE SOUTH AFRICA.
 
Kwaio serikali ya huko inawajengea raia wake nyumba na kuwakabidhi blaza una uhakika? Na unachokisema?
Ngoja nikufahamishe kitu kidogo tu kuna Watanzania walikua wanaishi beach kwenye madaraja Cape Town miaka ya nyuma ilikua kila mara fujo na police kufukuzwa huko kwenye madaraja maana walikua wanakaba juu wanakimbilia huko baadae Serikali ikaamu kuwajengea nyumba Delft upande wa kulia wa Mandalay kama unaelekea Khayelitsha hao Watanzania wabeach beach waliamua kuziuza hizo nyumba na kuendelea na maisha yao ya kuunga unga kwa kulala...
 
Sasa mbona huyu mleta mada kasema serikali ya afrika ya kusini inawajengea kila raia wake nyumba? Kama walijengewa watanzania itakua ni shelter za kuwafanya wawe na sehemu za kuishi tu hadi hivi sasa kuna stori mbili tofauti 1. Weww unasema walijengewa watanzania 2. Mleta mada anasema kila raia wa huko anajengewa nyumba kwaio kipi ni kipi sasa
 
Ni kweli. Zinaitwa RDP Houses. Kuna waiting list kubwa sana
Ni kweli mkuu duuh aisee hadi foreignor mwenye permanent resident anaweza kuomba ila inabidi uwe unalipwa kati ya R3500-7000 kwa mwezi yani kati ya 560,000 - 1,120,000 kabla ya kodi aisee kama ingrlikua Tanzania naona watumishi wote wa serikali wangeomba kweli Tanzania bado sana
 
Assalaam ndugu zangu wana Jf,

Natumai baadhi yenu mko salama kabisa,na wale wenye maswahibu mbalimbali Mungu awafanyie wepesi Inshaa Allah.

Kwanza kabisa nitoe shukran zangu za dhati kwenu kwa michango ya mawazo mlionipa ktk nyuzi zangu zote zilizohusu safari yangu ya kuja huku SA Capetown kutafuta maisha.Hakika mlinisaidia sana,Mungu awajaalie.

Ni miezi saba sasa nakomaa na life LA Capetown na kwakweli licha ya changamoto mbali mbali namshukuru Mungu nipo salama na maisha yanakwenda bila vikwazo.

Dhumuni la Uzi huu ni kutaka kushare kauzoefu kadogo nilikokapata ndani ya nchi hii au mji huu wa Capetown kuhusu maisha ya wenye nchi.

Wenyeji wa Capetown ni wakhosa na ma coloured (warangirangi).
Kiukweli japo sijatembea nchi nyingi duniani lakini nathubutu kusema sidhani kama kuna nchi yenye RAIA wapumbavu kama SA!!
Nathubutu kusema hivyo kwasababu ya haya niyaonayo.Acha niwaelezee japo Kwa uchache..

Nianze na Wakhosa.
Hawa viumbe wengi wao wamepata muamko wa elimu hivi karibuni,Jamii hii Mara nyingi wanapatikana maeneo ya vijijini(location),ninaposema vijijini msinielewe vibaya kwakufansnisha vijiji vya SA na huko kwetu,huku lami ni kila kona,na nyumba nzuri zipo. huwezi Amini licha yakuishi ktk nchi hii ambayo inauchumi mkubwa barani Africa,lakini wengi wa RAIA hawa wanaishi kwenye vibanda vya mabati(Bangaloo).Sio kwamba hawana nyumba zakuishi,LA hasha..nyumba wanazo tena wanajengewa na serikali yao bureee!!!Ila wanapangisha halafu wao wanaishi kwenye mabangaloo!!!

Mnaosema eti watanzania ni wavivu sana,jamani tembeeni mjionee wanaostahili kuitwa wavivu.Raia wa nchi hii ni wavivu kupindukia kuanzia kimwili mpaka kifikra.
Hawapendi kujishughulisha Kwa lolote zaidi ya wizi na wivu dhidi ya wageni.
Baada yakuona wageni wanafanikiwa kupitia shughuli mbalimbali haliyakuwa wao wenye nchi wanaishi maisha ya tabu hatimae wakaanza kupiga raia wakigeni na kuilazimisha serikali yao kuwafukuza warudi kwao,au waondolewe kazini ili zile shughuli wazikamate wao!
Chaajabu serikali yao ikatii upumbavu wa RAIA wake na kuamuru makampuni yaliyo ajiri foreigners yawaondoe na waajiriwe wazawa!!Hebu ona upumbavu wa hawa wenye nchi,eti wameona wakimbizi wanafaidi kwakufanya kazi za ulinzi nao wameamua kuwa walinzi ktk nchi yao!!!
Chaajabu licha ya makampuni ya ulinzi kuwaajiri wenye nchi lakini unaambiwa hawafanyi kazi ipasavyo,wanafanya kazi pale tu wanapokuwa hawajapokea mshahara,siku wakipokea hawaonekani kazini mpaka hela iishe,ni pombe mwanzo mwisho.

Wakati watanzania huwa tunaunda vikundi vya michezo yakupeana pesa Kwa zamu ili kukwamuana kiuchumi,wenzetu wanavikundi vya kununuliana pombe Kwa zamu!!!

Maajabu mengine ni kwamba,miongoni mwa hawa jamaa.hawajui lugha ya kiingereza.

Hawajamaa hawanaga utamaduni wakutembea nje ya jimbo lao mfano anatoka Capetown kwenda Durban,Nilimuuliza mkhosa mmoja hivi umeshawahi kwenda Johannesburg? Akanijibu nikipata passport nitakwenda Lol!!

Hayo ni miongoni mwa machache tu,l kuhusu wakhosa,siku nyingine nitakuja na vituko vya hawa ma coloured NIMECHOKA,mwenye mangine aongezee.

wana sema kutembea nayo ni elimu kama ya chuo.
s.afrika ukiona ndugu yako hana kuja huku,kutafuta maisha kama anakwenda dar bila sababu
maisha ya huku
kuhuza madawa ya kulevya,bangi,wizi wakila aina,kuna kazi ambazo unaweza nyumbani ukawa una mcheka mtu wewe mbona unauza pipi na biskuti barabarani basi utauza usipo kuwa makini.
simaanishi hivo na jua asilimia kubwa ya watanzania waliopo huku ndo kundi kubwa la hayo niliyo yataja ila wapo ambao wanao fanya kazi zao walio bahatika au kusota katika njia tofauti mpaka kufanya kazi au kujiajili kufika hapo.

maisha ya s.afrika kama ukiweza kumudu nyumba ya kupanga kuanzia chumba kimoja maana kodi ni kwa mwezi na ukianza kulipia ina bidi ya mwezi mmoja uandae.basi ujue wewe kodi ya dar kupanga nyumba nzuri unaweza kumudu nyumbani,ndo maana pesa zetu unakuta zinaishia kwenye kupanga nyumba ni galama sana.
kiufupi usipo kuwa makini kama mtafutaji utalala nje,chumba au nyumba mtakuta na ishi zaidi ya watu wawaili.
s.afrika nyumba sio rafiki na maisha ya watu,kama sio mzawa na mzawa mwenyewe una pesa.
swala la wizi huku hata kuwa na vyombo vizuri vya usalama mfano polisi wa huku wana kila aina ya magari,vifaa vya ulinzi lakini ulinzi wao ni hafifu sijui tuseme kutokana na wimbi kubwa la uhalifu.kwa nini ?
usishangae kuona kituo cha polisi nacho kina lindwa na idara ya ulinzi binafsi kama zile za masaki,ningekuwa na picha ningepiga.
simu huku inaweza kukutoa rohoo maana unakabwa kweupe na hakuna mtu anakusaidia,bunduki huku ukiwa na ID unapata kama una kibali,na kama una kibali zipo kama unauziwa bizaa ya kawaida.
s.afrika pesa hipo ila ina kila aina ya maajabu yake jinsi ya kuipata kama nilivo eleza hapo juu sio wote wamefanikiwa kwa njia ya kunyoosha hivo.
alafu huku mtanzania sio wa kumuamini asilimia zote hata kujua kwako kama una mafanikio.ukibisha njoo ujue
 
Ndugu yangu mi nna miaka 2 tu uku na naishi vijijini lkn da watanzania sisi uku mtu ukiwa na view a video tu mtanzania mwenzio anakufanyia mpango wakupige mchomoko.yaani Ndugu yako wa karibu anakumind
wana sema kutembea nayo ni elimu kama ya chuo.
s.afrika ukiona ndugu yako hana kuja huku,kutafuta maisha kama anakwenda dar bila sababu
maisha ya huku
kuhuza madawa ya kulevya,bangi,wizi wakila aina,kuna kazi ambazo unaweza nyumbani ukawa una mcheka mtu wewe mbona unauza pipi na biskuti barabarani basi utauza usipo kuwa makini.
simaanishi hivo na jua asilimia kubwa ya watanzania waliopo huku ndo kundi kubwa la hayo niliyo yataja ila wapo ambao wanao fanya kazi zao walio bahatika au kusota katika njia tofauti mpaka kufanya kazi au kujiajili kufika hapo.

maisha ya s.afrika kama ukiweza kumudu nyumba ya kupanga kuanzia chumba kimoja maana kodi ni kwa mwezi na ukianza kulipia ina bidi ya mwezi mmoja uandae.basi ujue wewe kodi ya dar kupanga nyumba nzuri unaweza kumudu nyumbani,ndo maana pesa zetu unakuta zinaishia kwenye kupanga nyumba ni galama sana.
kiufupi usipo kuwa makini kama mtafutaji utalala nje,chumba au nyumba mtakuta na ishi zaidi ya watu wawaili.
s.afrika nyumba sio rafiki na maisha ya watu,kama sio mzawa na mzawa mwenyewe una pesa.
swala la wizi huku hata kuwa na vyombo vizuri vya usalama mfano polisi wa huku wana kila aina ya magari,vifaa vya ulinzi lakini ulinzi wao ni hafifu sijui tuseme kutokana na wimbi kubwa la uhalifu.kwa nini ?
usishangae kuona kituo cha polisi nacho kina lindwa na idara ya ulinzi binafsi kama zile za masaki,ningekuwa na picha ningepiga.
simu huku inaweza kukutoa rohoo maana unakabwa kweupe na hakuna mtu anakusaidia,bunduki huku ukiwa na ID unapata kama una kibali,na kama una kibali zipo kama unauziwa bizaa ya kawaida.
s.afrika pesa hipo ila ina kila aina ya maajabu yake jinsi ya kuipata kama nilivo eleza hapo juu sio wote wamefanikiwa kwa njia ya kunyoosha hivo.
alafu huku mtanzania sio wa kumuamini asilimia zote hata kujua kwako kama una mafanikio.ukibisha njoo ujue
 
Hapana ndugu izo ni kwa wenyeji tu wenye ID sio wageni sema wageni tunanga kwenye izo nyumba
Ila si wameandika hata foreigner mwenye permanent residence anaweza kuomba vipi hauna makaratasi ya permanent residence au
 
Back
Top Bottom