Hujui ukisemacho.Police wa sauzi wanawachekea wahalifu. Kwani bunduki Kazi yake nini.
Tueleweshe tusiojuaHujui ukisemacho.
Ni sawa na mtu Tanzania akwambie ogopa panya road, wakati panya road wana maeneo yao.Mzee south yote imechafuka?
Ukitumia bunduki uhalifu unakoma, sheria haina uwezo wa kuishape jamii.Hujui ukisemacho.
Pia wazawa awapendi Kazi zaidi ya pombe na ngono na hivi havipatikani bure.Umesahau na rape, hii kule wahalifu wanaona ni kawaida kubaka.
South carjacking, house robbery, murder and rape ujitayarishe navyo.
Sehemu salama kwako, labda uende sehemu za utalii. Kidogo huko polisi wanapalinda sana.
Sababu ya crime kuwa juu, South Africa. Wanasema baadhi tu ni Unemployment, Ufisadi mkubwa wa Serikali, hawajali tabaka la chini na Alcohol.
Yes wavivu, sasa wakienda Wazimbabwe na mataifa mengine ya Kiafrika, kufanya kazi. Ndiyo huanzishaga zile vurugu, kuwa wameenda kuwachukulia kazi zao.Pia wazawa awapendi Kazi zaidi ya pombe na ngono na hivi havipatikani bure.
South african hawana tofauti na black american wote Wana characters moja.
Ukiwaza ngono na pombe mda wote ni lazima uwe mvivu mwili unakuwa umechoka kwa ngono na pombe.Yes wavivu, sasa wakienda Wazimbabwe na mataifa mengine ya Kiafrika, kufanya kazi. Ndiyo huanzishaga zile vurugu, kuwa wameenda kuwachukulia kazi zao.