Nyau Wewe
Sxul ndo nini?
komaa na chemistry na maths..phy usihangaike nayo sana
Dahh naombeni msaada ndugu zanguni,actually mimi ni mwanafunzi wa form 5 pcm(MILAMBO MEN HIGH SCHOOL ),In short ni kwamba kila nikigisa kitu hakiendi mpaka nais kuchanganyikiwa maana kumbuka phy sio mziki mdogo na never hakunaga mkali wake,pure maths. ndo iyo inavuluga kabisa na ukiangalia malengo yangu ni kwamba ntakapoenda likizo nitapiga msuli mnene lakini mambo yamekuwa vice versa, Naombeni saaaaanaaaa ushauri wenu guyz
Mkuu PCM aache physics akomae na chem? Course nyingi sana za eng zinataka mtu alie vizuri PH & MT, labda kama anataka kufundisha,komaa na chemistry na maths..phy usihangaike nayo sana
Sio kwa Tanzania yetu hii kaka, zaidi ya afya kila mmoja ana hustle kutafuta kazi haijalishi we sayansi au artDogo pambana masomo ya sayansi ndio dili kubwa kwa sasa nchini na duniani kwa ujumla
Hamna kombi tamu kama PCM hamna somo rahisi kama PURE MATHS!!! Natamani ningerudi tena advance niendelee kuifurahia maths.Dahh naombeni msaada ndugu zanguni,
Actually mimi ni mwanafunzi wa form 5 PCM (Milambo Men High School)
In short ni kwamba kila nikigusa kitu hakiendi mpaka nahisi kuchanganyikiwa maana kumbuka physics sio mziki mdogo na never hakunaga mkali wake. Pure maths. ndo hiyo inavuruga kabisa na ukiangalia malengo yangu ni kwamba ntakapoenda likizo nitapiga msuli mnene lakini mambo yamekuwa vice versa..
Naombeni saaaaanaaaa ushauri wenu guyz