Maisha ya advance tabu

Maisha ya advance tabu

Nelly Gerald

Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Dahh naombeni msaada ndugu zanguni,

Actually mimi ni mwanafunzi wa form 5 PCM (Milambo Men High School)

In short ni kwamba kila nikigusa kitu hakiendi mpaka nahisi kuchanganyikiwa maana kumbuka physics sio mziki mdogo na never hakunaga mkali wake. Pure maths. ndo hiyo inavuruga kabisa na ukiangalia malengo yangu ni kwamba ntakapoenda likizo nitapiga msuli mnene lakini mambo yamekuwa vice versa..

Naombeni saaaaanaaaa ushauri wenu guyz
 
relax soma ukiwa umetulia ondoa fikra za kuona kila kitu ni kigumu kwenye hiyo combination yako
 
Hama kombi haraka sana kabla haujachelewa sababu hizo no dalili mbaya.

Utapoza miaka miwili utakuja kujuta baadae
 
Dahh naombeni msaada ndugu zanguni,actually mimi ni 5 pcm,kila nikigiss kitu hakiendi mpaka nais kuchanganyikiwa maana kumbuka phy sio mziki mdogo na never hakunaga mkali wake,pure maths. ndo iyo inavuluga kabisa na ukiangalia malengo yangu ni kwamba ntakapoenda likizo nitapiga msuli mnene lakini mambo yamekuwa vice versa, Naombeni saaaaanaaaa ushauri wenu guyz

Dogo pambana masomo ya sayansi ndio dili kubwa kwa sasa nchini na duniani kwa ujumla
 
Yahhh mi niko milambo boyz,ila Mazigazi unavyosema hama kombi unamaanisha nn mana itakuwa ni kitu cha kushangaza kidogo kwanza shule gan unahama comb ssiv,na kumbuka term ya kwanza ndo ishaisha sa sijakwelewa unamaanisha nn
 
Last edited by a moderator:
We jtahd kusoma tyu hakuna kujuta wala nn hyo nafac uliyopata ucipoteze
 
actually upo right kiche bt mambo hayaendi mzee,, msuli haupandi hata theluthi
 
Last edited by a moderator:
Cyo kwamba mamb hayaend hapana bt mindset yko umetune hvyo bt mamb cyo magumu sana km unavyofikiria hasa ukiamua mi nakumbuka wkt naanza na hyo pcm mwanzon chezea sana namba za via2 bt ckukata tamaa at da end nilifaulu na div 2 asikudanganye m2 hata uende comb gan km huxomi utafel tyu.
 
Km upo shule ya day ni bora uktafuta boarding xcul hakuna k2 rahc haxa ktk kuxoma mwisho wa cku we ndo mwenye maamuz..
 
Nenda tuition tu, kwa advance zimejaa kibao kila kona, ka huwezi kulipa soma yakigoma anza upya, yakigoma tena rudia hadi utaona yanaanza kuingia.

Usilalamike mziki wa advance, hujafika chuoni engineering. Hehehe pole sana mbongo, we kaza hivohivo tu hadi kieleweke. Alafu usione aibu kuuliza wenzako ambao wanajua wakusaidie, kupata direction kutoka kwa mtu ambaye anajua vizuri haya mambo itakurahisishia sana maisha.
 
komaa na chemistry na maths..phy usihangaike nayo sana
 
shule yetu haina day yote ni adv tupu na ni boarding, ila nashukuru sana kiche kwa ushauri wako
 
Last edited by a moderator:
kama science imekushinda nenda kasome HKL
wa sayans na waliosoma art wote mkiwa mateacher mshahara mmoja
 
Hizo ni dalili za kukata tamaa, pengine kutokana na mitazamo tofauti unayoipata kutoka kwa wenzako juu ya mchepuo unaosoma, wapo wanafunzi wanaosoma michepuo bila kuwa na malengo na huenda waliichagua bila kufuata ushauri au kwa kufuata mikumbo, ndipo hali inakuja kubadilika! Kusoma inahitaji kuwa na malengo na pia ukipende unachokisoma, unahitaji kujituma na kushirikiana na wenzako, bila kusahau kuwasumbua walimu pale mnapopata shida, kusoma zaidi vitu vya msingi kuliko kusolve matango pori, maana A level hasa pcm kuna matango pori mengi ajabu! Bila kusahau kumuomba Mungu kila wakati ili akufunulie upate uelewa zaidi huku ukijituma zaidi! Hakuna kitakachoshindikana..
 
Back
Top Bottom