Tunajua kuwa maisha plus ni show ya uhalisia ila kwa kikichotokea leo masoud na wenzako mmetuongopea tena uongo wa wazi sijajua mda lengo gani
Uongo huo ni hao washiriki wa kike kulala juu ya mji, pasipo kutokea kituko chochote kama vile mtu kusinzia na kujikuta kadondoka toka juu ya mji kwani na sema hivi ni vigumu sana mtu ambaye hajawahi kukesha kwa Mala ya kwanza akalala juu ya mji ikiwa hana hofu yani akili imetulia mtu ambaye anaweza kulala juu ya mti ni mtu ambaye kajificha yani anakimbia tatizo furani huyo anaweza
Kwa watu ambao wamewahi kukesha watakuwa mashahidi usingizi hauna adabu haiwezekani mtu aliyekesha juu ya mti eti anashuka na furaha
Huo ni uongo acheni tuongopea badilikeni