Maisha plus 2016 final

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,997
Reaction score
2,577
-,waziri Mwijage azindua mashine ya kusaga iliyotengenezwa na washiriki wa maisha plus
-Pia amempa mshiri toka Mtwara mashine ya kubangua korosho..
--Final rasmi itaanza saa 3 usiku Azam tv
 
washiriki wanaelezea experience ya juu ya maisha plus.
 
Sijui ni nani atashinda Leo hzo million 30 ngumu kuhisi
 
Huyu masoud yaani kila kitu yeye tu hata u-mc hataki kumpa mtu mwingine yeye ndio jaji mc duh
 
Wamebaki wawili ngoja tuone kama hela inabaki tz au inaenda kenya
 
kumbe pesa itakatwa kodi tena duh!!!
 
Mshindi wa maisha plus 2016 ni Olive toka Kenya
 


Mshindi ndio huyu Olive toka Kenya
 
Bendera za Kenya zinapepea hongera Olive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…