pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,355
Nimecheka sana, tik tok itawafanya vijana wawe wendawazimu. #Sipangwingwi Challenge(254)
Kitu kama hicho, kuna jamaa anasema alibuni neno hilo 'sipangwingwi' na kwamba atadai hela zake kwa yeyote atakayelitumia. Ndio Sheng hiyo jombaa, karibu Kanairo(Nairobi).Sipangwingwi ndo sipangiwi?
Ashakueleza jombaa, kwamba maisha ni yake eti na ushughulike na yako. 😄Apunguze kula miraa, hapo ishamvuruga ubongo