Huu msemo utakua ni wa Wahenga wa kisasa.Uoga wako ndio umasikini wako
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] aiseeeUshajua unaepambana nae..
Binafsi sipendi ujinga na ukiniletea upuuzi dakika tano nyingi.
Sipendi kufuatilia vitu vya kipuuzi mara chache utanikuta nafatilia muvi au naangalia tv.
Sina familia ivyo niko bize na mishe zangu.
Sifa moja wapo ya kushinda vita ni kutokuwa muoga..Siogopi kitu.
Umeshajua unaepambana nae???
Uzi tayari..
ngoja tuanze kumchokoza hapa hapaWabongo hawachelewi kkuchokoza tu waingie kwenye 18 yard area yako. Ila as long as you're determined and you know your values utasonga mbele
Unatafta vita wewe,ngoja tuanze kumchokoza hapa hapa