Maisha ni upepo.

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,967
Siku ukiamka na UPEPO wa kudaiwa madeni utadaiwa weeeeee.

Siku ukiamka na hali ya kukopwa, utakopwa weeeeee

Siku ukiamka na bahati ya kuingiza pesa utaingiza weeeeee

Siku ukiamka na bahati ya kupendwa na wanawake/wanaume utapendwa weeeeee

Siku ukiamka na kugombana na watu yaani ndo hivo hivo.


MAISHA NI UPEPO huvuma kus kuelekea kas kwa Kasi ya kilomita 100 kwa saa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukiamka kupost pumba unapost weeeeee
Ila siku ukismka na upepo wa kufa unakufa weee


yes bishoo haswaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…