dawa yenu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 2,829
- 3,733
- Thread starter
- #21
Hiyo akili sikuwa nayo kabisa! Kuna wakati nilikuwa nalala na Hadi milioni Tano chini ya mto.... Sikuwahi kufikiria kuwa Kuna maisha baada ya ujenzi!! Na mshua kama asingeingilia kunipa mtaji... Aisee sijui ingekuwaje!Hongera sana..
Mimi hapo kwenye milioni 100 ukashindwa kuchomoa 10M ukizingatia hauna ajira na huo sio wizi unaamisha baadae ungemwambua mzee angeelewa tu.