AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,658
- 2,804
ndio yupi hapo kwenye hiyo picha?makofuli
cc joseverest
eh baba ni nani huyo anakisirani katika hiyo picha?Ndio maana amekuwa mwenye kisirani sana maana kila akikumbuka alipotoka haamini macho yako......
kweli dunia duara
Kwani ndo huyu huyu
Ndugu usintafutie balaa....we elewa hivyo hivyo......!!!!eh baba ni nani huyo anakisirani katika hiyo picha?
Subirini mnyweshwe dawa, mna kauli mbaya sijui mmelelewa machimboniUchwara
Jiwe hapo linachukua notes za kutawala NchiNimeliona JIWE