Nimekumbuka 'WAR BUS' tu.
Haaaa Haaa
Kabla ya kupigwa ”X” unadrive unaenda sehemu nyingine
I see nothingUbunifu wa familia moja katika jimbo la Washington,Marekani: katika kubana matumizi.
Swali ni je, wangepona bomoabomoa iwapo wangekuwa Bongo?
Hapana mkuu hapo kwa makusudi unasubiri kabisa wapige x huondoki mpaka siku wanakuja kivunja, unawasha nyumba unasepa.Kabla ya kupigwa ”X” unadrive unaenda sehemu nyingine
I see nothing
Wqnadharaulika hao wanaoishi kwenye nyumba za hivo au yale magari yanayoitwa RV.wanaonekana sawa na homeless tu.
Hapana mkuu hapo kwa makusudi unasubiri kabisa wapige x huondoki mpaka siku wanakuja kivunja, unawasha nyumba unasepa.
Matatizo ya kiufundi JF mpya? Bado "you see nothing?"
Bado