Maisha ni nini?

Maisha ni nini?

Janeting

Member
Joined
Feb 20, 2018
Posts
40
Reaction score
80
Hivi maisha ni nini?

Maisha yana maana gani?

Mtu akifariki huwa anaenda wapi? Anapotea moja kwa moja au pumzi yake inajazwa kwa kiumbe mwingine anayezaliwa?

Siku ya kiama tutasomewa hukumu zetu duniani au mbinguni? Kama ni mbinguni si tayari tutakuwa tumemuona Mungu?

Mwenye uelewa naomba ufafanuzi.
 
Hivi maisha ni nini?

Maisha yana maana gani?

Mtu akifariki huwa anaenda wapi? Anapotea moja kwa moja au pumzi yake inajazwa kwa kiumbe mwingine anayezaliwa?

Siku ya kiama tutasomewa hukumu zetu duniani au mbinguni? Kama ni mbinguni si tayari tutakuwa tumemuona Mungu?

Mwenye uelewa naomba ufafanuzi.
Umechanganya vingi hapa
Tafasiri ya maisha
Kifo
Maisha baada ya kifo
Kuzaliwa tena nknk

Soma hii itakufunulia mengi



 
Maisha yanaanzia pale sperm na yai vinaungana na organ muhimu ya kwanza inaform ❤.Mpaka pale organ hiyo itasimama mazima (kufa).Mtu akifa ndo kafa. Hakuna sijui cha uhai wake kuja kupewa kiumbe mwingine. There is a thin line between life and death. Kuzaliwa ni majaliwa,kufa ni lazima.
 
Maisha yanaanzia pale sperm na yai vinaungana na organ muhimu ya kwanza inaform .Mpaka pale organ hiyo itasimama mazima (kufa).Mtu akifa ndo kafa. Hakuna sijui cha uhai wake kuja kupewa kiumbe mwingine. There is a thin line between life and death. Kuzaliwa ni majaliwa,kufa ni lazima.
Nadhani hapa kuna vitu viwili tofauti
1. Maisha
2. Uhai
Sio kila chenye maisha kina uhai lakini kila chenye uhai kina maisha..
Maisha yanaweza kuwa hata kwenye vitu visivyo na uhai Lakini uhai hutokana na vitu vyote vyenye maisha
 
Back
Top Bottom