Maisha ni nini?

MR BINGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2016
Posts
1,216
Reaction score
2,614
kama kichwa kinavyojieleza hapo maisha ni nini? kibiologia
-kwa mwenye uelewa anaweza kunielewesha/kutuelewesha
 
Biologically maisha ni hali ya mwili kuwa na sifa zote za kiumbe hai. Kama respiration,nutrition,responce &irritability n.k
 
kipindi cha kati ya kuzaliwa na kifo kwa kiumbe hai chochote ,hasa binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…