Maisha ni komborela butua uokoe wengine

Mr Alpha

Senior Member
Jul 31, 2018
195
522
Mafanikio yako ni mafanikio ya watu wengi.wapo wengi nyuma yako wanasubilia uainue.

Ukipiga hatua moja ya mafanikio piga na ya pili alafu hatua ya tatu wainue ndugu na marafiki zako na jamii inayokuzunguka.
Kumbuka kuwa watu wapo katika harakati za maisha wapo watesekao,hawajui watakula nini,kwahiyo wewe kama umefanikiwa tambua Mungu amekupa wewe ili uwakomboe na wenzako
Asante

-Yakobo 1.27 Dini iliyo safi, isiyo na uchafu mbele za Mungu Baba, ndio hii: kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu.
 
sio watanzania wengi wanaofanikiwa wanaona ni muda wao wa kuwakanyaga wengine walio chini yao mfano watumishi wa umma..ukienda kupata huduma kwenye ofisi nyingi za umma yaani wanakuangalia kama umeenda kuomba msaada yaani ni kama unawasumbua sana..
 
Umeanza vizuri ukamaliza vibaya,

Mungu anashindwa vipi kusaidia watu wake mpaka atume watu wengine. Hizo ni nadharia za kujipa moyo tu.

Mungu huyo ni mchoyo sana na ana upendeleo sana kwa kufanya wengi wasifanikiwe na wachache wafanikiwe ilhali uwezo wa kufanya wote mfanikiwe anao.
Inafikirisha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom