Maisha ni kamchezo katamu sana, ili uone utamu wake, zingatia haya

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,806
Habari JF
Maisha ni kama mchezo, kuna mambo ukizingatia utafanikiwa vibaya mno
Ila usipozingatia utaangukia Pua.

Kwenye maisha kuwa makini na mambo haya
1.Amini Sana Mungu, Ila jiongeze uchawi upo na unatenda. Jitahidi kuweka kinga ya ziada kwenye biashara kazi nk.

2. Mahusiano.
Aisee hora uwe single kwa muda mrefu kuliko kuwa na mtu asie sahihi..kitu kingine kinachofelisha watu ukiacha uzumbe ni mahusiano(mke sahihi)

3.Nidhamu ya fedha
Hata tena ni kajambo ka kuzingatia sana.jifunze sana kupitia semina na vitabu mbalimbali.

4. Kuweka Malengo.
Jitahidi sana kuishi kwa Malengo, utakuwa na concentration kwenye maisha yako.

5. Afya.
Jenga Tabia ya mazoezi iwe sehemu ya maisha yako.

6. Uwekezaji
Aisee anza kuwekeza hata UTT Amis taratibu tena ikibidi kuwa na chanzo cha mapato zaidi ya kimoja.

7. Cheza na muda.
Ujachelewa Ila muda unao kabisa ila usikubali kupoteza muda kwenye jambo la kijinga.

Ukizingatia Hayo mambo kwa undani huwezi kufa masikini.

#umri sio akili.

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
 
Umekuwa mjinga kuamini katika kinga mbadala, ushirikina!
Nakuhakikishia hapo hutoboi!
 
Asilimia 95 ya waliofanikiwa wanatumia ushirikina
Tatizo bado una mindset ya kimasikini ndio maana hauamini hivo.

Utaishia kuambiwa Fanya kazi kwa bidii fanya hivi Ila kipengele cha ndumba hawakwambii

Sikia umasikini wako ndio unakufanya usiamini ndumba

Poor you
 
imagesCACRQ2IJ.jpg
 
Waganga wangeweka CCTV ,siku ya kutoa video kwa public ingekuwa mtafutano
 
Asilimia 95 ya waliofanikiwa wanatumia ushirikina
Tatizo bado una mindset ya kimasikini ndio maana hauamini hivo.

Utaishia kuambiwa Fanya kazi kwa bidii fanya hivi Ila kipengele cha ndumba hawakwambii

Sikia umasikini wako ndio unakufanya usiamini ndumba

Poor you
Tatizo lako kufanikiwa maana yake ni kuwa na pesa nyingi

Hakuna ulazima wa kwenda kwa mganga, Mungu peke yake anatosha

Kwenye nidhamu ya pesa upo sahihi

Kuhusu mke hilo lina uhusiano mdogo sana kama unajitambua vema

Hard work + smart work = success

But what is success? That is a big question
 
Asilimia 95 ya waliofanikiwa wanatumia ushirikina
Tatizo bado una mindset ya kimasikini ndio maana hauamini hivo.

Utaishia kuambiwa Fanya kazi kwa bidii fanya hivi Ila kipengele cha ndumba hawakwambii

Sikia umasikini wako ndio unakufanya usiamini ndumba

Poor you
Mkuu inaelekea wewe umetoka shamba juzi.
Bado uko karne ya 18.

Mimi nasukuma V8 katika safari zangu za kawaida jijini, nina maisha poa, na namuamini na kumshukuru Mungu kwa 110%

Endelea kuamini ushirikina, na nina uhakika utajuta huko mbeleni.
 
Usipo amini ushirikina tutakutana motoni kwa zambi zingine za uzinzi dhulma na kusengenya.

Ukitaka Kupataa mafanikio kutoka kwa Mungu kuwa mwema 100%

Otherwise itakufa masikini na kwenda motoni

Back
Top Bottom