Joseph midimu
Senior Member
- Mar 8, 2024
- 191
- 326
Ahahaha! - ulitoka na GPA ya tano.?🤩🔥Hahaha 🤣 😂 😂 tatizo utoto raha enzi nami nipo chuo nilijua GPA kali ni kila kitu
Mtaa ukanipa neno connection alooh maisha ni vita
Yaani acha tu nikipita Ivi nilikuwa najiona mkali yaani ilifika kipindi nawachukulia poa wafanyakazi wa mkoaniAhahaha! - ulitoka na GPA ya tano.?🤩🔥