Uko sawa siunaona hata wewe umejikalia tu lumumba kusifu na kuabudu ilimradi upate chochote. Kuwaza fursa hiyo akili utatoa wapi zaidi ya kusifia wakenya?Sio kweli wakenya na wa Nigeria nchi yeyote akienda cha kwanza ni kuangalia fursa.Sio sehemu za burudani na pombe ziko wapi.Ndio maana wako wengi nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania.Ujue uwingi nje unawaletea pesa nyingi za kigeni . Watanzania kutokuwa wengi nje tunakosa pesa za kigeni kupitia wao.Kujazana tu ndani ya nchi sio sifa . Nigeria na kenya ndizo zinaongoza Africa Kwa kuvuna pesa nyingi za kigeni kupitia diaspora .Nchi ya kwetu ni kiduchu.Mkenya na mnigeria hata atembelee nchi siku mbili swali lake kubwa kuna fursa gani akajipange au awapelekee kwao
Ajira sio fursa?Uko sawa siunaona hata wewe umejikalia tu lumumba kusifu na kuabudu ilimradi upate chochote. Kuwaza fursa hiyo akili utatoa wapi zaidi ya kusifia wakenya?
Watanzania wakisafiri huwa kazi kupiga piga mipicha ya selfie huwa hawasaki fursa . Tofauti na wakenya
Twende namibia mkuu
Uko sawa siunaona hata wewe umejikalia tu lumumba kusifu na kuabudu ilimradi upate chochote. Kuwaza fursa hiyo akili utatoa wapi zaidi ya kusifia wakenya?
Ku export watalaam kunaingiza pesa za kigeni kakaTanzania haijakataza watu kwenda nje kutafuta maisha, ni kwamba tuu Tanzania bado inakalika na fursa za maisha bado zipo ndiyo maana unaona watu bado wakibanana. Hiyo Kenya unayosema ina export madaktari, mbona inaleta madaktari kutoka Cuba? Huoni kuna tatizo hapo?
Tangunini ku export labor ni kitu cha kujivunia? Huoni kuwa hiyo ni brain drain wakati ku export chai, kahawa,korosho na pamba kama tunavyofanya Tanzania ni jambo la akili?
Hiyo pesa siyo nyingi kiivyo, ukilinganisha na pesa iliyotumika kuwasomesha. Fikiria kwa mfano, kwenye janga la Corona, wataalamu ambao wangetengneza kinga wapo nje, kunafaida gani kutuma vijisenti wakati watu wanapoteza maisha.
Nimekupenda bure.[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]Nikupe mfano mdogo tu . Tanzania tuna madaktari kibao waliohitimu udaktari kazi hawana kibao.Hawa tungeweza Ku export kama kenya linavyofanya ,tuna walimu kibao wenye digrii hawana kazi hao tungeweza Ku export Hawa utasema madaktari na hawa walimu wasio na kazi hapa nchini utasema mfumo mzuri na fursa zipo kwao watakueleewa.Kenya kuna excess trained labour ambayo hawawezi Ku i absorb ndani ya nchi ndio Wana export.Tatizo la Trained excess labour force hata sisi tunalo ilw tumekaa tu hatutaki kuhangaika Ku export kama Nigeria na Kenya wafanyavyo ndio maana Kenya na Nigeria kupata passport ni simple tofauti na kwetu.Kule ni strategy ya serikali Ku export labour.Sisi hatuna hicho kitu kutwa tunawaza sana sana Ku export chai,kahawa,korosho na pamba!!!!!
Hahahahaha heshima kwako mkuu,sio kwa makavu hayo!!Watanzania wakisafiri huwa kazi kupiga piga mipicha ya selfie huwa hawasaki fursa . Tofauti na wakenya
Hahahahaha heshima kwako mkuu,sio kwa makavu hayo!!
Duuh ninacheka kupunguza maumivu ya Tozo!Kuna sehemu na jamii ambazo wazungu na waarabu hawakufika kabisa huko kwa wa adzabe, so tell me viwanda vyao vinaendeleaje?