komanyahenry
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 907
- 1,372
Acheni kuwa na mawazo mgando, binafsi kama tungeweza kurudisha nyuma siku hata sitamani hao wazungu na waarabu warudi Africa, waafrika tulikuwa na viwanda vyetu na tuliishi vizuri sema walivyokuja wakaaribu kila kitu chetu, uchumi uripolomoka, mila na desturi zetu zilipotea. Now hatuna chochote cha maana zaidi ya kuendelea kuwategemea hao watu weupe tena kwa masharti kibao wakati asilimia kubwa ya utajiri wao umetokana na waafrikasisi wajerumani walitutawala kwa muda mfupi sana baada ya wao kushindwa na waingereza vita kuu ya pili ya dunia wakanyang'anywa koloni na waingereza.
Namibia Wajerumani walikaa miaka mingi zaidi.
I wish tungetawaliwa na wajerumani tungekuwa wachapakazi sana
Kuna rafiki yangu mmoja tulimaliza secondari pamoja, akapata nafasi ya kuenda kusoma uingeleza (kwao walikuwa na uwezo) baada ya miaka minne akarudi bongo. Nilibahatika kukutana naye. Story zake sasa mara bongo kuna vumbi sana kule haukuti vumbi, utasikia internet ya bongo hovyo sana kule unapakua muvi within seconds, mara kule unakaa tu chumbani unaagiza chskula unaletewa huku mpaka twende nje kutafuta its boring. Dah nimesoma coment yako niksmkumbuka msela wangu huyu. Sasa hivi amepata kazi huko huko na ana familia na mzungu. Anyway wabongo tunajisahau.Mtanzania akisafiri nje akirudi Ni kuonyesha tu album ya picha alizopiga akiwa nje kwani uongo?
Hicho ndicho anachoanza kusimulia.Uliza watanzania hata wakisafiri kwenda nchi jirani hapo Rwanda tu wakirudi uwasikie watakachosems.Atakuonyesha picha alizopiga na Cha pili atakwambia aisee Rwanda kusafi ,kumepangika.Full stop.Hawezi sema Kuna fursa gani.Hata ukimuuliza Hilo swali kuwa Rwanda Kuna fursa gani? jibu unakuta hana anajiuma Uma mdomo nabanatoa tu mimacho Kama mjusi aliyefiwa na mkwewe.
Kuna sehemu na jamii ambazo wazungu na waarabu hawakufika kabisa huko kwa wa adzabe, so tell me viwanda vyao vinaendeleaje?Acheni kuwa na mawazo mgando, binafsi kama tungeweza kurudisha nyuma siku hata sitamani hao wazungu na waarabu warudi Africa, waafrika tulikuwa na viwanda vyetu na tuliishi vizuri sema walivyokuja wakaaribu kila kitu chetu, uchumi uripolomoka, mila na desturi zetu zilipotea. Now hatuna chochote cha maana zaidi ya kuendelea kuwategemea hao watu weupe tena kwa masharti kibao wakati asilimia kubwa ya utajiri wao umetokana na waafrika
sisi wajerumani walitutawala kwa muda mfupi sana baada ya wao kushindwa na waingereza vita kuu ya pili ya dunia wakanyang'anywa koloni na waingereza.
Namibia Wajerumani walikaa miaka mingi zaidi.
I wish tungetawaliwa na wajerumani tungekuwa wachapakazi sana
Nikupe mfano mdogo tu . Tanzania tuna madaktari kibao waliohitimu udaktari kazi hawana kibao.Hawa tungeweza Ku export kama kenya linavyofanya ,tuna walimu kibao wenye digrii hawana kazi hao tungeweza Ku export Hawa utasema madaktari na hawa walimu wasio na kazi hapa nchini utasema mfumo mzuri na fursa zipo kwao watakueleewa.Kenya kuna excess trained labour ambayo hawawezi Ku i absorb ndani ya nchi ndio Wana export.Tatizo la Trained excess labour force hata sisi tunalo ilw tumekaa tu hatutaki kuhangaika Ku export kama Nigeria na Kenya wafanyavyo ndio maana Kenya na Nigeria kupata passport ni simple tofauti na kwetu.Kule ni strategy ya serikali Ku export labour.Sisi hatuna hicho kitu kutwa tunawaza sana sana Ku export chai,kahawa,korosho na pamba!!!!!Ngoja tuigeuze shilingi kwa hoja yako, huoni kuwa hawana fursa nyumbani ndiyo maana wanazikimbia na sababu ya kutokuwa na fursa ni mfumo mbovu wa nchi zao?
Wajerumani waligungua wabongo wana tabia ya indolencesisi wajerumani walitutawala kwa muda mfupi sana baada ya wao kushindwa na waingereza vita kuu ya pili ya dunia wakanyang'anywa koloni na waingereza.
Namibia Wajerumani walikaa miaka mingi zaidi.
I wish tungetawaliwa na wajerumani tungekuwa wachapakazi sana
Bagamoyo ingekua Walvis bay ya kwetu hapa,sema ccm inatukwamishaHiyo Walvis Bay wenyewe wanaiita "little Dubai" kwa kuwa ni bandari iliyopo jangwani.
Ukitaka kuingiza bidhaa kwa meli Namibia ni lazima upitie Walvis Bay.
Waadzabe ni jamii ya wafugaji, jamii za ivyo sio wazalishaji wao kazi yao ni kuhamahama kutafuta malisho ila kuna makabili ambayo yalikuwa ni wazalishaji kama wahunziKuna sehemu na jamii ambazo wazungu na waarabu hawakufika kabisa huko kwa wa adzabe, so tell me viwanda vyao vinaendeleaje?
Kikubwa ni kwamba adui mkubwa wa waafrika ni sisi waafrika wenyewe, tumejawa na ubinafsi, majungu na kujipendekeza ndio maana tunashindwa kuwa na maendeleo ya maana zaidi ya kujaza data za kutengenezwa kuoneshwa kuwa tunamaendeleo. Kama tukifanya utafiti wa hali ya watu kuwa na furaha na amani kipindi cha kabla ya ukoloni na maisha baada ya ukoloni na maisha baada ya uhuru nina uhakika maisha kabla ya ukoloni yalikuwa ni the bestKuna sehemu na jamii ambazo wazungu na waarabu hawakufika kabisa huko kwa wa adzabe, so tell me viwanda vyao vinaendeleaje?
Tanzania haijakataza watu kwenda nje kutafuta maisha, ni kwamba tuu Tanzania bado inakalika na fursa za maisha bado zipo ndiyo maana unaona watu bado wakibanana. Hiyo Kenya unayosema ina export madaktari, mbona inaleta madaktari kutoka Cuba? Huoni kuna tatizo hapo?Nikupe mfano mdogo tu . Tanzania tuna madaktari kibao waliohitimu udaktari kazi hawana kibao.Hawa tungeweza Ku export kama kenya linavyofanya ,tuna walimu kibao wenye digrii hawana kazi hao tungeweza Ku export Hawa utasema madaktari na hawa walimu wasio na kazi hapa nchini utasema mfumo mzuri na fursa zipo kwao watakueleewa.
Tangunini ku export labor ni kitu cha kujivunia? Huoni kuwa hiyo ni brain drain wakati ku export chai, kahawa,korosho na pamba kama tunavyofanya Tanzania ni jambo la akili?Kenya kuna excess trained labour ambayo hawawezi Ku i absorb ndani ya nchi ndio Wana export.Tatizo la Trained excess labour force hata sisi tunalo ilw tumekaa tu hatutaki kuhangaika Ku export kama Nigeria na Kenya wafanyavyo ndio maana Kenya na Nigeria kupata passport ni simple tofauti na kwetu.Kule ni strategy ya serikali Ku export labour.Sisi hatuna hicho kitu kutwa tunawaza sana sana Ku export chai,kahawa,korosho na pamba!!!!!
Kwani tulitawaliwa peke yetu? wenzetu wamepigaje hatua wakati nao walitawaliwa?Acheni kuwa na mawazo mgando, binafsi kama tungeweza kurudisha nyuma siku hata sitamani hao wazungu na waarabu warudi Africa, waafrika tulikuwa na viwanda vyetu na tuliishi vizuri sema walivyokuja wakaaribu kila kitu chetu, uchumi uripolomoka, mila na desturi zetu zilipotea. Now hatuna chochote cha maana zaidi ya kuendelea kuwategemea hao watu weupe tena kwa masharti kibao wakati asilimia kubwa ya utajiri wao umetokana na waafrika
Bagamoyo ingekua Walvis bay ya kwetu hapa,sema ccm inatukwamisha
Mkuu kuxport na kuimport kitu kile kile ni swala tu la bei.Mfano Tanzania tuna export mchele na tuna import mchele!!!!Taifa Linauza nje kwa bei kubwa una import mwingine Kwa bei ndogo kufidia Pengo la ule ulio export.ukipiga Hesabu unaona umetengeneza faida.Kwa hiyo usishangae nchi Ku export madaktari na Ku import madaktari toka nchi zingine.Swali lako Ku export labour ni brain drain? Jibu rahisi tu kama hao madaktari wasio na kazi ukiwaacha hivyo si unaozesha tu akili zao na ujuzji wao kwa kuwaacha Bila Ku practice .Hawaingizi pesa na akili zao zinaoza sababu hakuna wanachofanyai.Si Heri kuwa export wakaingize pesa na brain zao zisioze kwa kukaa bure.Kunexport ni kuwasaidia elimu zao zisioze na wapate pesaTanzania haijakataza watu kwenda nje kutafuta maisha, ni kwamba tuu Tanzania bado inakalika na fursa za maisha bado zipo ndiyo maana unaona watu bado wakibanana. Hiyo Kenya unayosema ina export madaktari, mbona inaleta madaktari kutoka Cuba? Huoni kuna tatizo hapo?
Tangunini ku export labor ni kitu cha kujivunia? Huoni kuwa hiyo ni brain drain wakati ku export chai, kahawa,korosho na pamba kama tunavyofanya Tanzania ni jambo la akili?
Kama huoni tatizo la brain drain basi tuna safari ndefu.Si Heri kuwa export wakaingize pesa na brain zao zisioze kwa kukaa bure.Kunexport ni kuwasaidia elimu zao zisioze na wapate pesa
Brain drain wewe ndio hujui . Brain drain ni kama una experts unaowategemea na unaowatumia wakaporwa na nchi nyingine hivyo kukufanya wewe uwe na upungufu wa experts ambao ulikuwa unawategemea wakikufanyia kazi.Daktari mzururaji asiye na ajira serikal inamtegemea kwa lipi .Haijamwajiri haimlipi chochote .Huyo akichukuliwa nje huwezi ita brain drain.Si unao kibao huko kwenye ajira yako wenye ma brain ndio maana hutaki kuajiri hizo brain zingine? .You still have brains in your office.Kama huoni tatizo la brain drain basi tuna safari ndefu.
Hujui maana ya brain drain.Brain drain wewe ndio hujui . Brain drain ni kama una experts unaowategemea na unaowatumia wakaporwa na nchi nyingine hivyo kukufanya wewe uwe na upungufu wa experts ambao ulikuwa unawategemea wakikufanyia kazi.Daktari mzururaji asiye na ajira serikal inamtegemea kwa lipi .Haijamwajiri haimlipi chochote .Huyo akichukuliwa nje huwezi ita brain drain.Si unao kibao huko kwenye ajira yako wenye ma brain ndio maana hutaki kuajiri hizo brain zingine? .You still have brains in your office.
Roho mbaya .Acheni.Hujui maana ya brain drain.
Baada ya uhuru walikuwa na sera na mipango mizuri, na viongozi wao hawakuwa wabinafsi. Kipindi kifupi baada ya uhuru uchumi wa nchi ulikuwa umeshikwa na serikali ila now fedha nyingi zipo kwa wafanyabiashara ambao ni wachache kwa namba ambao wengi wao ni wahindi na waarabuKwani tulitawaliwa peke yetu? wenzetu wamepigaje hatua wakati nao walitawaliwa?
Mahaba yako kwa wakenya bado hayajaisha?Watanzania wakisafiri huwa kazi kupiga piga mipicha ya selfie huwa hawasaki fursa . Tofauti na wakenya