Hakuna tabia za kijerumani bali nchi ina mifumo ya Afrika Kusini, kila kitu kinatoka SA, miji yao japo midogo sana kwa mfano mji una watu 40,000 tu lakini una malls nyingi na kubwa kuliko Dar es Salaam.Tanzania na Namibia tunahistoria moja ya kutawaliwa na wajerumani mpaka 1918, inakuwaje wao wawe na tabia za kijerumani na sisi tusiwe nazo.
Nchi hiyo lazima ina systematic racism, niliona picha moja ya huko mji imegawanywa na barabara, upande mmoja utafikiri picha imepigwa 1800's na upande mwingine 2019.Hakuna tabia za kijerumani bali nchi ina mifumo ya Afrika Kusini, kila kitu kinatoka SA, miji yao japo midogo sana kwa mfano mji una watu 40,000 tu lakini una malls nyingi na kubwa kuliko Dar es Salaam.
Ukiwa expert utafurahi na kuishi kizungu vinginevyo hakuna biashara ndogo ndogo za kimachinga sana watu wengi hununua vitu super market.
Nchi ni ya kibepari kama SA kwani walitawaliwa na SA hadi 1990. Kuna wanabia wengi waliishi Tz kama wanafunzi wa Nyerere wakati wakipigania uhuru na wanamweshimu Nyerere na watanzania sana. Hawa huongea Kiswahili.
Pamoja na uchache wa watu (2.5m) yaani kama mkoa wa tanga tu nchi ya Namibia ina eneo kubwa kama Tz, ila ardhi nzuri imeshikwa na walowezi wachache wa kizungu ambao hata hawaishi Namibia. Ardhi ni ghali mno pamoja na kwamba ni jangwa jangwa.
Kuna fursa ila inabidi uwe capitalist mkubwa sio mmachinga. Wazungu wachache waliopo huku wana-enjoy kuliko Ulaya.
Wanamibia ni watu wazuri na friendly sio kama wasauzi au waBotswana na hufanya kazi kwa ushirikiano na wageni.
Ukija Namibia usiishi kwenye miji mikubwa hasa Windhoek au swakopmund miji hii ni ya kizungu na ghali sana.
Karibuni South West Africa.
Tanzania na Namibia tunahistoria moja ya kutawaliwa na wajerumani mpaka 1918, inakuwaje wao wawe na tabia za kijerumani na sisi tusiwe nazo.
Mkuu niandae kama Ngapi ivi je mfano nina Professionals fulani ya engineering kwa level ya degree au diploma vipi apo?Hakuna tabia za kijerumani bali nchi ina mifumo ya Afrika Kusini, kila kitu kinatoka SA, miji yao japo midogo sana kwa mfano mji una watu 40,000 tu lakini una malls nyingi na kubwa kuliko Dar es Salaam.
Ukiwa expert utafurahi na kuishi kizungu vinginevyo hakuna biashara ndogo ndogo za kimachinga sana watu wengi hununua vitu super market.
Nchi ni ya kibepari kama SA kwani walitawaliwa na SA hadi 1990. Kuna wanabia wengi waliishi Tz kama wanafunzi wa Nyerere wakati wakipigania uhuru na wanamweshimu Nyerere na watanzania sana. Hawa huongea Kiswahili.
Pamoja na uchache wa watu (2.5m) yaani kama mkoa wa tanga tu nchi ya Namibia ina eneo kubwa kama Tz, ila ardhi nzuri imeshikwa na walowezi wachache wa kizungu ambao hata hawaishi Namibia. Ardhi ni ghali mno pamoja na kwamba ni jangwa jangwa.
Kuna fursa ila inabidi uwe capitalist mkubwa sio mmachinga. Wazungu wachache waliopo huku wana-enjoy kuliko Ulaya.
Wanamibia ni watu wazuri na friendly sio kama wasauzi au waBotswana na hufanya kazi kwa ushirikiano na wageni.
Ukija Namibia usiishi kwenye miji mikubwa hasa Windhoek au swakopmund miji hii ni ya kizungu na ghali sana.
Karibuni South West Africa.
Basi ni copycat ya south Africa (8% ya watu wanahodhi 90% ya ardhi)Kwa sababu wajerumani waliedela kuishi Namibia hadi leo na kuiendeleza nchi hiyo kama ilivyokuwa South Afrika.
Na miji yao ndo hiyo ya Walvis Bay na Swakopmund.
Wengi ni wa-Afrikaans.
Basi ni copycat ya south Africa (8% ya watu wanahodhi 90% ya ardhi)
Ubishi hausaidii.Kila kitu Wakenya.. wakenya.
Katika dunia hii wakenya ndio unawaona watu wa maana sana kiliko nchi nyingine zote!?
Hakika ujinga mzigo.
Waingereza waliwachukulia watanganyika kama watoto wa hiari. Ni tofauti na walivyoichukulia kenya a.k.a Crown colony.Hata hao waingereza sisi hatuwahusudu kiivyo, je watanzania ni toto tundu au imetokea tuu sisi kuwa waswahili?
Nafahamu mazalia ya wajerumani Lushoto, je uweupe uchangani unatokana na damu ya kijerumani?
Hiyo ni sifa moja (isiyo rasmi) ya nchi ilisiyotawalika.Katika Afrika nzima kenya na nigeria zinaongoza kwa watu wao kwenda nje ya nchi zao au nje ya Afrika.
Sema wanatoa mimacho kama PalamasamakiMtanzania akisafiri nje akirudi Ni kuonyesha tu album ya picha alizopiga akiwa nje kwani uongo?
Hicho ndicho anachoanza kusimulia.Uliza watanzania hata wakisafiri kwenda nchi jirani hapo Rwanda tu wakirudi uwasikie watakachosems.Atakuonyesha picha alizopiga na Cha pili atakwambia aisee Rwanda kusafi ,kumrpangika.Full stop.Hawezi sema Kuna fursa gani.Hata ukimuuliza Hilo swali kuwa Rwanda Kuna fursa gani? jibu unakuta hana anatoa tu mimacho Kama mjusi aliyefiwa na mkwewe.
Kweli, tulikuwa protectorate.Waingereza waliwachukulia watanganyika kama watoto wa hiari. Ni tofauti na walivyoichukulia kenya a.k.a Crown colony.
sisi wajerumani walitutawala kwa muda mfupi sana baada ya wao kushindwa na waingereza vita kuu ya pili ya dunia wakanyang'anywa koloni na waingereza.Tanzania na Namibia tunahistoria moja ya kutawaliwa na wajerumani mpaka 1918, inakuwaje wao wawe na tabia za kijerumani na sisi tusiwe nazo.
hapana ni mashariki ya katiHata hao waingereza sisi hatuwahusudu kiivyo, je watanzania ni toto tundu au imetokea tuu sisi kuwa waswahili?
Nafahamu mazalia ya wajerumani Lushoto, je uweupe uchangani unatokana na damu ya kijerumani?
Sio kweli wakenya na wa Nigeria nchi yeyote akienda cha kwanza ni kuangalia fursa.Sio sehemu za burudani na pombe ziko wapi.Ndio maana wako wengi nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania.Ujue uwingi nje unawaletea pesa nyingi za kigeni . Watanzania kutokuwa wengi nje tunakosa pesa za kigeni kupitia wao.Kujazana tu ndani ya nchi sio sifa . Nigeria na kenya ndizo zinaongoza Africa Kwa kuvuna pesa nyingi za kigeni kupitia diaspora .Nchi ya kwetu ni kiduchu.Mkenya na mnigeria hata atembelee nchi siku mbili swali lake kubwa kuna fursa gani akajipange au awapelekee kwaoHiyo ni sifa moja (isiyo rasmi) ya nchi ilisiyotawalika.
Kivipi walikaa muda mrefu wakati baada ya kushindwa vita ya WWI walinyang'anywa makoloni yao?sisi wajerumani walitutawala kwa muda mfupi sana baada ya wao kushindwa na waingereza vita kuu ya pili ya dunia wakanyang'anywa koloni na waingereza.
Namibia Wajerumani walikaa miaka mingi zaidi.
I wish tungetawaliwa na wajerumani tungekuwa wachapakazi sana
Hata Tanzania tulitawaliwa na Mjerumani lakini baada ya vita ya Kwanza ya Dunia wote tulichukuliwa na muingerezaNamibia ni nchi ngumu kuishi kama wewe sio mfanyabiashara au mtaalam au "expatriate".
Mji mkuu wa Windhoek ni mji wa 150 wenye maisha ghali.
Fursa pekee iliyopo ni kuingiza bidhaa mbalimbali khasa vyakula na kama una fedha za kutosha basi unafungua duka lako mwenyewe la maana na sio genge la kupanga nyanya mbili tatu.
Ila mfumo wa kodi na taratibu za kulipa ushuru zinaweza kukupa shida kidogo.
Namibia ina miji mkiuu mitatu Windhoek, Walvis Bay na Swakopmund.
Wanamibia wana tabia za kijerumani kutokana na historia ya kutawaliwa na wajerumani na kizazi cha warerumani bado jipo Namibia.
Ngoja tuigeuze shilingi kwenye hoja yako, huoni kuwa hawana fursa nyumbani ndiyo maana wanazikimbia nci zao na sababu ya kutokuwa na fursa ni mifumo mibovu kwenye nchi husika.Sio kweli wakenya na wa Nigeria nchi yeyote akienda cha kwanza ni kuangalia fursa.Sio sehemu za burudani na pombe ziko wapi.Ndio maana wako wengi nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania.Ujue uwingi nje unawaketea pesa nyingi za kigeni . Watanzania kutokuwa wengi nje tunakosa pesa za kigeni kupitia wao.Kujazana tu ndani ya nchi sio sifa . Nigeria na kenya ndizo zinaongoza Africa Kwa kuvuna pesa nyingi za kigeni kupitia diaspora .Nchi ya kwetu ni kiduchu.Mkenya na mnigeria hata atembelee nchi siku mbili swali lake kubwa kuna fursa gani akajipange au awapelekee kwao
Naomba historia ya hao watu wa mashariki ya kati,hapana ni mashariki ya kati