Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,205
- 8,445
Zero iq akienda huko anakuwa popular within half an hour
Kwa hiyo population !
Twende namibia mkuuaiseeee
Da mkuu ngoja nijipange na nauliTwende namibia mkuu
Kila kitu Wakenya.. wakenya.Watanzania wakisafiri huwa kazi kupiga piga mipicha ya selfie huwa hawasaki fursa . Tofauti na wakenya
Tanzania na Namibia tunahistoria moja ya kutawaliwa na wajerumani mpaka 1918, inakuwaje wao wawe na tabia za kijerumani na sisi tusiwe nazo?Wanamibia wana tabia za kijerumani kutokana na historia ya kutawaliwa na wajerumani na kizazi cha warerumani bado jipo Namibia.
Baada ya vita ya kwanza Namibia iliwekwa chini ya uangalizi wa SA ambayo ilikuwa chini ya makaburu. Kumbuka makaburu wana asili ya udachi na ujerumani hivyo ndugu moja. Sisi tuliwekwa chini ya uangalizi wa mwingereza na mazalia ya wajerumani bado tunayo Iringa, Bukoba na baadhi Moshi.Tanzania na Namibia tunahistoria moja ya kutawaliwa na wajerumani mpaka 1918, inakuwaje wao wawe na tabia za kijerumani na sisi tusiwe nazo.
Hata hao waingereza sisi hatuwahusudu kiivyo, je watanzania ni toto tundu au imetokea tuu sisi kuwa waswahili?Baada ya vita ya kwanza Namibia iliwekwa chini ya uangalizi wa SA ambayo ilikuwa chini ya makaburu. Kumbuka makaburu wana asili ya udachi na ujerumani hivyo ndugu moja.
Nafahamu mazalia ya wajerumani Lushoto, je uweupe uchangani unatokana na damu ya kijerumani?Sisi tuliwekwa chini ya uangalizi wa mwingereza na mazalia ya wajerumani bado tunayo Iringa, Bukoba na baadhi Moshi.
Yawezekana. Prince Wilhem aliyekuwa mme wa aliyekuwa Malkia wa Uholanzi aliishi Lushoto akiwa mtoto kabla ya vita ya kwanza. Alirudi TZ 1996 na alikwenda mpaka Lushoto kuona alikokulia.Nafahamu mazalia ya wajerumani Lushoto, je uweupe uchangani unatokana na damu ya kijerumani?
Mtanzania akisafiri nje akirudi Ni kuonyesha tu album ya picha alizopiga akiwa nje kwani uongo?Kila kitu Wakenya.. wakenya.
Katika dunia hii wakenya ndio unawaona watu wa maana sana kiliko nchi nyingine zote!?
Hakika ujinga mzigo.
aiseeee