Maisha na vipindi vyake..

Unaona jinsi hekima na busara vinavyoletwa na umri wa mtu; hiyo picha ya chini huyo mzee Singh haoneshi kabisa emotions zake wakati wa furaha au majonzi unlike kijana Obama ambaye uonesha wazi wazi anapofurahi au kukasirika!! Uzee dawa nyie vijana.
 
Huwezi ukawa constant katika kila situation, u must be abnormal kama huyo Babu.
 
Huyo Manmohan alivyo duh...! haiwezekani bwana, nothing is permanent but change...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…