Maisha na single daddy

Huwa nafikiria a single dad is a very loving man. Ile type ya wanaume wenye mapenzi matamu sana sana addictive.

On one condition. You value his kids as if they were your own.

Na hapo ndo penye mtihani. Because you may give your all to the kids and it never seems like you made any effort.
 
Punguza wivu kidogo basi,hahahaaa. Ukweli ni chqngamoto sana ila dawa kubwa ni kuwapenda hao watoto na kudharau changamoto unazozipata kutoka kwa mama wa watoto pengine na yeye anatamani kurudi hapo hivyo anataka kukuharibia.
Ni wanawake wachache sana wanaopenda watoto wa mwanamke mwingine. katika wanawake 200 usipate hata moja.
 
Mkuu ukishafika 35+ kama uko single, nafasi ya kukutana na aliye acha mke au kufiwa na kuachwa na watoto ni kubwa. Ninajiandaa.
hili huwa nawaambia watu kila nyakati napozungumza nao...UMESEMA KWELI MKUU
maana wakati wew unakuwa basi naile generation yako yote pia inakuwa imekuwa either wengine wameshafariki
so unapohitaji kuwa katka mahusiano kuna uwwzekano mkubwa wakujikuta waangukia kwa mke wamtu /Mume wamtu ..single mother /single father..mjane ama mgumba
kwa maana katka makamu hayo watu wengi warika lako wanakuwa wameshapitia karibia zile hatua zote muhimu ambazo huwa zinapaswa kuwa mapito ya binaadamu ..kupata ambaye hayupo kwenye hizo nafasi tajwa ni bahatisha ndurutey

labda kama utaanza kutoka na viben10
 
Una moyo,,hongera!!
Namjua mtu mimba ilikataliwa ila mwanaume kamfata mtoto baada ya miaka 9,na anajipigia kama kawaida...!!
 
Una moyo,,hongera!!
Namjua mtu mimba ilikataliwa ila mwanaume kamfata mtoto baada ya miaka 9,na anajipigia kama kawaida...!!


Ikimfuata haina shida na akijipigia nikjua namuacha na kuvuta Mrembo mwingine na Maisha yataendelea kama kawaida,huyu mwanamke na mtoto wake na huyo bwana aliyeikataa hiyo wataenda kupambana na hali zao huko mbele.
 
Kazi ipo,ila mimi niliipata fresh kutoka kwa Baby Mama wake,anapiga simu kuuliza hali ya mtoto saa6 usiku,eti enhe mtoto vipi anaendeleaje? ana kula vizuri? huyo sijui unamuitaje mpe salam asinitesee mwanangu ajue mie na wewe hatuja achana ila tume tengana,halafu kipindi hicho ndio kwanza nimeolewa nikasema moyoni nikisema niachwe ni aibu eti kosa mtoto wa mke mwenzie huku mume nampenda na kile kitoto ki malaika just 2months ila nilikubali nipoona hapa basi nikaongea ila sasa mtoto nimkubwa anaingia 18yrs this yeah mwenyezi mungu anikuzie..
 
Hongera sana.
Binamu yangu aliachana na mkewe, alipopata girl friend baby mother anampigia simu kumwambia watoto wanaumwa. Akiwa njia ni kwenda kuona watoto baby mother anampigia girlfriend na kumwambia 'nikimhitaji ninamuita tu si unaona'. Mwisho baby mother alirudi kwenye ndoa yake.

Kujuta mtoto tuichukulie kuwa ni baraka, cha muhimu wawe wameachana kweli.
 
Ahsante,ila inataka subra hekima,nilikua nalia najiuliza Dhambi yangu nini lol..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…