Maisha na single daddy

Jamani sky aki post muwe mnanitag maana siyo Kwa michapio hyo.

[HASHTAG]#wengive[/HASHTAG]
wengine
 
[HASHTAG]#anapiga[/HASHTAG] chapati
Anapika chapati



[HASHTAG]#wanzmhaduthia[/HASHTAG]
wanamhadithia


Makofi na vigeregere Kwa maza hausi
 
Stay positive with your kings kids,they will stay positive with you too mkuu kuzidi hata huyo mama yao,watoto wako so innocent wanaamini chochote in a positive way na huwa inategemea na malezi,wanaweza hadi kuzeeka wakiwa positive hivyo hivyo
 
Mi cjaelewa hata MOJA aseeeeeee😱😱🙂🙂
 
Ngoja nitafute miwani niweze elewa ulichoandika.
 
Single parents wa kuoa/kuolewa nae.
1.Baba/mama wa mtoto/watoto awe amefariki.
2.Baba wa mtoto aliikataa mimba na kutokemea kusikojulikana yaani hana habari na mama wala mtoto.

Ukipata wa hivyo na kumchukulia mtoto/watoto ni kama wako mwenyewe hapo utafurahia Maisha na kujiona hakuna mwenye Babati duniani kukuzidi wewe.

Mimi nimempata namba mbili yaani napendwa mpaka naogopa.

Mke wangu alikutana jamaa chuo huko yeye akiwa mwaka wa Pili na jamaa mwaka wa tatu wakiwa vyuo viwili tofauti,mwanamke Morogoro na mwanaume Dar. Jamaa akalamghai kwamba anataka kumuoa na kudate siku moja tu na mimba akanasa. Jamaa kupewa taarifa Nina mimba yako akaikataa na kumblock demu katika njia zote za mawasiliano.
Chuo alichokuwa anasoma demu sheria ni Kali yaani ukipata mimba unafukuzwa chuo(MUM) na pia ametoka familia ya dini sana kiasi kwamba hakuweza kuwaambia nyumbani kwamba amepata mimba isiyokuwa na baba. Ikabidi aendelee na chuo huku akiificha mimba hapo chuoni na nyumbani kwao mpaka alipojifungua na baada ya wiki moja akampeleka mtoto kwenye kituo cha kulelea watoto yatima.
Nimekutana nae Mimi ananipa hiyo story hata kwao hawajui kama ana mtoto yaani yupo frustrated, nikapeleka posa kwao na kumuoa na miezi kumi baada ya kumuoa tukaenda kumkomboa huyo mtoto akiwa na miaka mitatu kamili. Kitoto cha kike kirembo.
 
Ukisha kuwa mke anakuwaje single Daddy tena??!
Kwa mara ya kwanza Sky sijakuelewa ulicho andika!!
Mkuu hata mimi ninapata utata hapa maana watotocwanaweza kuwa wanakaa na mama lakini likizo inabidi warned kwa baba
 
Hongera sana mkuu. Sasa ukutane na wale come and we stay baada ya kupata watoto mama anagugundua kuwa wanaume wenye mkwanja mrefu wanampenda zaidi. anaacha watoto na kukimbilia kwenye change.

Unakuta na na huyu baba ameshazoea kufua na kupikia watoto.

Wanaume wa hivi wana mapenzi sana. Unampumzisha siku nyingine hata aende bar kuangalia mpira utabaki na watoto. Mna build trust na mnakuwa familia.
Mama anataka kuona watoto wake, of course ni mama yao. Visa vinaanzia hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…