Kuolewa au kudate single daddy kuna vihunzi vya kupitia. Mama watoto atakuona wewe ni kizingiti cha furaha vya watoto wake.
Wapo wengine wanaunda urafiki na mama watoto. Hapa mtakuwa na yapi ya kuongea zaidi ya kumwongelea mwanaume?
Bado ule u malaika wa watoto, wakifika kwa mama yao wanzmhaduthia kila ulichowafanyia. Sasa hapo aambiwe aunt Sky anapiga chapati tamu mama tupeleke Jumamosi.
Wengive mali handle vipi date/ ndoa na single daddy?
Mara nyingi zinakuwaga za kutoana ham tu. Mawazo yangu. Au Mara nyingi ni kwa sababu mmoja anataka matunzo kutoka kwa mwenzie. ILA ni kawaida na kama Mkivumiliana Watoto wakishakua mnastablizeKuolewa au kudate single daddy kuna vihunzi vya kupitia. Mama watoto atakuona wewe ni kizingiti cha furaha vya watoto wake.
Wapo wengine wanaunda urafiki na mama watoto. Hapa mtakuwa na yapi ya kuongea zaidi ya kumwongelea mwanaume?
Bado ule u malaika wa watoto, wakifika kwa mama yao wanzmhaduthia kila ulichowafanyia. Sasa hapo aambiwe aunt Sky anapiga chapati tamu mama tupeleke Jumamosi.
Wengive mali handle vipi date/ ndoa na single daddy?
Rafiki,
Hapa umeongea kama nani sasa; mama watoto ama girlfriend wa single daddy?
Mkuu wengine wanakuwa wameachana kwa yao miaka na miaka lakini wakisikia baby father ana date kasheshe linaanzia hapo.Mara nyingi zinakuwaga za kutoana ham tu. Mawazo yangu. Au Mara nyingi ni kwa sababu mmoja anataka matunzo kutoka kwa mwenzie. ILA ni kawaida na kama Mkivumiliana Watoto wakishakua mnastablize
Mke/girl friend wa single daddy, ninaongelea vihunzi tunavyopitia kutoka kwa manacwa watoto
Mkuu ukishafika 35+ kama uko single, nafasi ya kukutana na aliye acha mke au kufiwa na kuachwa na watoto ni kubwa. Ninajiandaa.Oooh kutoka kwa mama watoto.
So, unataka kujadili from your experience ama unatoa nadharia au unaulizia kabla hujaingia?