MAISHA NA MAAJABU YAKE
[emoji818]Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone
[emoji818]Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme[emoji86][emoji86]
[emoji818]Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda[emoji851][emoji851]
[emoji818]Aliyegundua pesa alikufa na madeni[emoji25][emoji25]
[emoji818]Mpenz wako mpya kwa mwingine ni wa zamani[emoji12][emoji12]
[emoji818]Aliyegundua simu (Alexander Bell) mama yake alikuwa kiziwi(jiulize aligundua ili kumpigia nani)
[emoji818]Kuna watu wameajiriwa ila wanafundisha wengine jinsi ya kujiajiri [emoji1][emoji1]
[emoji818]Baba mlevi apendi mwanae anywe pombe[emoji87][emoji2369][emoji2369]
[emoji818]anayekupa ushauri wa ndoa yeye mwenyewe imemshinda
[emoji818]Wachina wanatengeneza dawa za kuongeza makalio ila wao wapo kama flat screen. [emoji1787][emoji1787]
MAISHA NI SIMPLE USIPOJICHANGANYA [emoji2957][emoji2957][emoji86][emoji85] l