Maisha na laws zake...

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
The law of attraction-you become and attract what you think ,wether positive or negative ,like attracts like.
*The law of belief-belive big,the size of your success is determined by the size of your belief i.e think little goals and expect little achievents,think big goals and win big success.
*The law of gratitude-the more grateful you are for what you have the more you will receive.

-wait for more laws of forgivenes.,the law of timing,the law of social proof and law of continous imp
 
What is your point here, then?

for any one who dare call great thinker ataelewa what is my point haina haja ya kuwa na degree kuelewa my point,just apply ktk maisha yako utaona faida zake.
 
The law of attraction-you become and attract what you think ,wether positive or negative ,like attracts like.
*The law of belief-belive big,the size of your success is determined by the size of your belief i.e think little goals and expect little achievents,think big goals and win big success.
*The law of gratitude-the more grateful you are for what you have the more you will receive.
-wait for more laws of forgivenes.,the law of timing,the law of social proof and law of continous imp

Ni vizuri kama unge-copy na ku-paste makala nzima au ungeweza ku-acknowledge the Author halafu sisi tungeweza kum-google!
 
nafikiri anamaanisha....kile unachofikiri na kuvutiwa nacho ndicho utakachokuwa....kama una fikra/mtazamo chanya au hasi hiyo ndiyo inakufanya wewe uwe ulivyo......!

Pili,kile unachoamini ndicho unachoweza kuwa......akimaanisha kama una imani waweza fanya au fikia lengo fulani then unaweza fikia

Point yake: mawazo yetu yana determine sisi ni watu wa namna gani au tutakuwa watu wa namna gani.....

ndo nilivyoelewa!!!!
 
hujakosea dada yangu, napenda nikuite DADA YANGU haswaaa!!

Nami nimemwelewa hivyohivyo.

Mfano:
* Mwanafunzi,anavutiwa kuwa Rubani wa ndege, baada ya miaka kile alichovutiwa mwanzoni hatimaye kafanikiwa kuwa Rubani wa ndege.

* Pili, Michelle anaamini ana uweza kuongoza hii nchi Tanzania, maana ana imani kwamba anaweza kuongoza nchi hii, anajitahidi kufanya kile anachoamini anaweza hatimaye kaweza kufikia lengo la kuwa kiongozi wa nchi hii.

Sijui kama nimekosea au nimeelewa kivingine, nipo tayari kusahihishwa.
 
Soma kitabu cha THINK BIG! nadhani Rober Kiyosaki. Pia DVD na kitabu cha POWER OF ATTRACTION, kaulizie pale mlimani City kuna bookshorp. This will automatic change your life! i tell you my friends!
 
Back
Top Bottom