Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,580
- 13,045
- Thread starter
-
- #21
Msaliti hana ndugu, utakuja kunichoma moto wewe siku moja!Mkuu kwa mara ya kwanza napingana na wewe
dunia ilikuwepo kabla yetu na itakuwepo tu hata sisi tusipo kuwepo
Kiufupi dunia bora ni ile ambayo haina binadamu!
Mjusi naona huu uzi ni kama vile umeuanzisha baada ya kudondoka tu ukutani.Pumzika kwanza msosi wa mchana usafiri vema, hayo maswali tutasanyasanya badae ukiwa mwepesi.
Mleta mada anafikiri bila uwepo wa Binadamu basi Dunia ndiyo itakayokufa.Wewe ulizaliwa na kuikuta Dunia.
Utakufa na kuiacha Dunia.
Hii Dunia Haimhitaji mtu yeyote yule.
Maelfu ya watu wameshakufa, Dunia ipo inadunda tu!
Maelfu ya watu watakufa, wataiacha Dunia ikidunda tu!
Binadamu ndio mharibifu namba moja wa Dunia.Mkuu kwa mara ya kwanza napingana na wewe
dunia ilikuwepo kabla yetu na itakuwepo tu hata sisi tusipo kuwepo
Kiufupi dunia bora ni ile ambayo haina binadamu!
Hawa si wafia dini!Mleta mada anafikiri bila uwepo wa Binadamu basi Dunia ndiyo itakayokufa.
Yupo kwenye kipindi cha autotomy , hapa mijusi unakuta mikia imekatika bwasheeMjusi naona huu uzi ni kama vile umeuanzisha baada ya kudondoka tu ukutani.
Sawa mkuu, ila ukumbuke sisi ni muhimu zaidi, maana bila kinyesi chetu dunia haiwezi kustawi bila mbolea.Wewe ulizaliwa na kuikuta Dunia.
Utakufa na kuiacha Dunia.
Hii Dunia Haimhitaji mtu yeyote yule.
Maelfu ya watu wameshakufa, Dunia ipo inadunda tu!
Maelfu ya watu watakufa, wataiacha Dunia ikidunda tu!
Dah! Ushindi kipindi cha kwanza si ushindi, ushindi ni kipindi cha pili, utakuja kunisaidia kupanda ukuta hivi punde.Mjusi naona huu uzi ni kama vile umeuanzisha baada ya kudondoka tu ukutani.
Kwanza kinyesi cha binadamu hakifai hata kwa matumizi ya mbolea.Sawa mkuu, ila ukumbuke sisi ni muhimu zaidi, maana bila kinyesi chetu dunia haiwezi kustawi bila mbolea.
Aiseeee! Bwashee unaenda kasi sana, kulikoni tena.Yupo kwenye kipindi cha autotomy , hapa mijusi unakuta mikia imekatika bwashee
Mbona hiyo ni sifa ya mjusi bwashee?Aiseeee! Bwashee unaenda kasi sana, kulikoni tena.
Ha ha haa mkuu umeenda mbali sana wewe utabaki kuwa ndg yangu tu!Msaliti hana ndugu, utakuja kunichoma moto wewe siku moja!
Sisi ni wavamizi na dunia hii haitutaki ndio maana tunazaliwa na tunakufaBinadamu ndio mharibifu namba moja wa Dunia.
Ongezeko la Binadamu duniani, ndio linachangia uharibifu mkubwa wa mazingira duniani.
Binadamu akifutika kwenye uso wa dunia. Uoto wa asili utastawi. Mazingira yatanawiri.
Kuna species nyingi za miti, mimea na wanyama zimeshapotea duniani, chanzo ni Binadamu.
Kabisa.Sisi ni wavamizi na dunia hii haitutaki ndio maana tunazaliwa na tunakufa
Vp kama tungekuwa tunazaliwa tu bila kifo hapa duniani ingekuwaje?
Nilimuuliza mchungaji mmoja alinipa jibu la ovyo sana
Kiufupi dunia imetukataa ndo maana hatuwezi kuishi milele!
Huo uzuri utaujuaje wakati wewe haupo bwashee?Wewe ndio una ishi kwa imani , ebu fikia dunia ambayo binadamu hayupo itakavyo kuwa nzuri , hakuna uharibifu wa mazingira na kila kitu kitarudi katika mazingira tulivu na ya asili kabisa
Mimi ni Mjusi wa kisasa siyo hiyo ya kizamazamani bwashee.Mbona hiyo ni sifa ya mjusi bwashee?
Haipingwi hii.Ha ha haa mkuu umeenda mbali sana wewe utabaki kuwa ndg yangu tu!
Nakazia.Huo uzuri utaujuaje wakati wewe haupo bwashee?