Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,572
- 12,990
Kaongea ukweli, binadamu ni kama kirusi kiharibifu ndani ya duniaUnavyo lopoka dunia imekaa miaka mingi bila uwepo wa bidamu kama ulikuwepo, tumia akili usitumie mihemko.
Hakuna kitu kama hicho bwashee, achilia mbali imani potofu.Kaongea ukweli, binadamu ni kama kirusi kiharibu ndani ya dunia
Wewe ndio una ishi kwa imani , ebu fikia dunia ambayo binadamu hayupo itakavyo kuwa nzuri , hakuna uharibifu wa mazingira na kila kitu kitarudi katika mazingira tulivu na ya asili kabisaHakuna kitu kama hicho bwashee, achilia mbali imani potofu.
Kabisa kabla ya kuwepo kwa civilazation sehemu kubwa ya ardhi ilikuwa na rutuba, bahari ilikuwa safi, samaki na viumbe wengi walikuwa salama, ozone layer ilikuwa vizuriKaongea ukweli, binadamu ni kama kirusi kiharibifu ndani ya dunia
Kwa maana kwamba unajitakia kifo siyo, ili dunia iwe ya kupendeza!Wewe ndio una ishi kwa imani , ebu fikia dunia ambayo binadamu hayupo itakavyo kuwa nzuri , hakuna uharibifu wa mazingira na kila kitu kitarudi katika mazingira tulivu na ya asili kabisa
Ipo wazi sana mkuu ,hata hakuna haja ya d mbili bwasheeKabisa kabla ya kuwepo kwa civilazation sehemu kubwa ya ardhi ilikuwa na rutuba, bahari ilikuwa safi, samaki na viumbe wengi walikuwa salama, ozone layer ilikuwa vizuri
Kifo ni asili ya viumbe hai , hakuna uhai bila kifoKwa maana kwamba unajitakia kifo siyo, ili dunia iwe ya kupendeza!
lopoka❌️Unavyo lopoka dunia imekaa miaka mingi bila uwepo wa bidamu kama ulikuwepo, tumia akili usitumie mihemko.
Hiyo ni kweli na madai ya kuwa binadamu tumehalibu dunia ni kweli pia, ila madai ya kuwa tumevamia dunia hivyo hatukustahiri kuwepo hiyo napinga.Kifo ni asili ya viumbe hai , hakuna uhai bila kifo
Hayo madai yako sijaona aliye yasema humu mkuu🤔Hiyo ni kweli na madai ya kuwa binadamu tumehalibu dunia ni kweli pia, ila madai ya kuwa tumevamia dunia hivyo hatukustahiri kuwepo hiyo napinga.
Sipangiwi cha kuandika muhimu umenielewa.lopoka❌️
Ropoka ✅️
Wewe hata kuandika hujui.
Hujui kutofautisha "L" na "R" katika uandishi.
Inabidi urudi chekechea ukajifunze somo la mwandiko.
You ain't mentally enough for intellectual argument.
Mkuu kwa mara ya kwanza napingana na weweUnavyo lopoka dunia imekaa miaka mingi bila uwepo wa bidamu kama ulikuwepo, tumia akili usitumie mihemko.
Hapo ni vema.Hayo madai yako sijaona aliye yasema humu mkuu
Kabisa , dunia inaweza kuendelea vizuri sana hata bila uwepo wetu , ni sisi tu tunajipa umuhimu tusiokuwa naoBinadamu ni kiumbe aliyekuja kuiharibu Dunia,wala Dunia himuhitaji Binadamu bali binadamu ndiye anayeihitaji Dunia ili aishi,
Unaweza kuweka hapa mambo ambayo Dunia inafaidika kwa uwepo wa Binadamu?
Pumzika kwanza msosi wa mchana usafiri vema, hayo maswali tutasanyasanya badae ukiwa mwepesi.Binadamu ni kiumbe aliyekuja kuiharibu Dunia,wala Dunia himuhitaji Binadamu bali binadamu ndiye anayeihitaji Dunia ili aishi,
Unaweza kuweka hapa mambo ambayo Dunia inafaidika kwa uwepo wa Binadamu?
Wewe ulizaliwa na kuikuta Dunia.Sipangiwi cha kuandika muhimu umenielewa.