Wanawake Nawashauri Kuheshm Ndoa Zao. Km Mwanaume Ni Msumbufu Kimbilia Kwa Wazaz Au Watu Wenye Ushawish Mkubwa Kwake. Mashndano Na Mwanaume Co Kitu Kzr Na Zaid Zaid Wanajtengenezea Mzgo Huko Mbeleni.
Wanaume Ni Watu Wenye Tabia Ya Kutojali Na Kupuuza Kdogo,Hawapendi Bughudha Na Dharau. Wanaume Wengi Wamekimbia Famili Lkn Ukchunguza Sn Ni Maneno Ya Kejeli Ya Mwanamke. Mke Anaweza Kumfumania Mme Hata Mara Kadhaa Lkn Ndoa Inaweza Endelea. Lkn Mke Akafumaniwa Mara Moja Tu, Inawezekana Ikawa Ndo Safar.
Mwanamke Ameumbwa Na Roho Ya Huruma Hta Km Mpenz Wake Atakosea Vp, Lkn Moyo Wa Mwanaume Ukijaa Hasira, Hugeuka Kua Katili Na Kutokumbuka Mazr Yote Aliyofanyiwa.
Hvyo Km Mtoa Mada Anavosema, Mwanamke Anapaswa Kujiandaa Wkt Wowote Kubeba Mzgo Wa Familia. Kwa Mkristo Bible Imeweka Wazi, Mwanaume Ampende Mke Wake Na Mke Amtii Mume Wake, Na Hawapaswi Kuachana Kwa Lolote Isipokua Uzinifu.
So Maisha Ya Ndoa Yanahtaj Hofu Sn Ya Mungu Lkn Vnginevyo Yamejaa Usanii.