Ngoja nikuongezee na video ya maneno uliyoyaacha kwa makusudi,USIACHE KUANGALIA HII VIDEO, KISHA KANUSHA KAMA ALICHOKISEMA SI KWELI.Hivi haka ka jamaa mbona kaswahili sana,,Au hapo alipofika kimafanikio bado tu aamini. Anaongea pumba tu cloudz FM anatoa povu povu tu.
Et Tuanze show mkali nani ....mi najua we Alikiba haumuwezi hata mkianzisha hako ka Tour...Ommy eeehh muonesha kama we ni kidume anaza kumkanyaga yule naniii wake....M.k.u.le
Hivi haka ka jamaa mbona kaswahili sana,,Au hapo alipofika kimafanikio bado tu aamini. Anaongea pumba tu cloudz FM anatoa povu povu tu.
Et Tuanze show mkali nani ....mi najua we Alikiba haumuwezi hata mkianzisha hako ka Tour...Ommy eeehh muonesha kama we ni kidume anaza kumkanyaga yule naniii wake....M.k.u.le
Shikamoo bibi.Wakome Waswahili, Waswahili ndiyo waliokupa lugha unayoiongea leo.
Mbona huongei kikwenu.
Punguani wahed.
vipi kwani, kakufanyaje tena huyo dogo ......???Fala sana huyo dogo
Wakome Waswahili, Waswahili ndiyo waliokupa lugha unayoiongea leo.
Mbona huongei kikwenu.
Punguani wahed.
Kivipi .........??Kumbe kina shilole viuno mpo wengi,