Maisha Mazuri yakija kwa Bahati mbaya ukubwani lazima uwe mswahili kama Diamond

Naona watu wame-panic ile mbaya!! Eti muziki ingekuwa sauti angemsaini Wema Sepetu.... dah! Eti jamaa anapiga show sehemu ambazo wengine wameishia kuzisoma kwenye jiografia na historia tu.....
kwani uwongo unapajua MAyotte

tatizo hamtaki kuambiwa ukweli!!!
anaongea hivo kwa sababu mnamchukulia poa sana.
halafu anafanya makubwa kuliko mnavyomchukulia..
akisema ukweli kesi
 
Kama vijana watanzania tunafikiria kama huyu jamaa, mafanikio na maisha mazuri tutayasikia kwenye radio. Wewe Wakuacha maisha mazuri yanatafutwa hayaji kwa bahati mbaya na hata yakija kwa bahati mbaya lazima uwe na discipline ya hali ya juu kumaintain hayo mafanikio na kujituma zaidi, hivi hujuulizi kwanini Kuna baadhi ya watoto wameachiwa mali kibao lkn baada ya kipindi kifupi wakawa masikini. Please change your mind from now la sivyo utakuwa kila siku mtu wa kulalamika, ukishamaliza hapo utanza kuwachukia waliofanikiwa. Sasa ukishafikia levo ya kujenga chuki, unayakaribisha magonjwa na unazifukuza neema na baraka za mungu, kwani mungu anawapenda watu ambao mioyo yao imejaa upendo mwisho wa siku umasikini unakuvaa. Badiliko mafanikio huja kwa kujituma, kupenda kile unachofanya na Kuwa na nidhamu ya matumizi.
Amen... Hope wamesikia
 
Paka akiwa mnene=Paka wa kizungu

Paka akikondeana mchafu=paka wa kiswahili

Mbwa akiwa na manyoya mazuri-mbwa wa kizungu

Mbwa akiwa mbaya-mbwa wa kiswahili

Mtu akiwa smart,tabia nzr -jamaa mzungu yule hana uswahili kabisa

Mtu mwenye tabia mbovu -ana mambo ya kiswahili Swahili

Mtu akiongea kiingereza-anaonekana smart,ana akili

Mtu akiongea lugha mama-anaonekana hajui,mshamba nk

Kitu chochote kibaya kinapewa jina la uswahili,kitu kizuri kinapewa uzungu

Inferiority complex
ndizi za kizungu
 
Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda.
Ulitaka awe mkenya?,mzungu?
Wivu tu unawasumbua akiongea yeye mnamwita mswahili wakiongea wengine wao wazungu eti!!??
 
Hivi kwann akiongea diamond mnaita uswahili, ichoicho akiongea dimpoz au kiba hamsemi, Leo dimpoz kapost uswahili mtupu tangu post ya ujanjaujanja na saiv kapost ya wema uswahili mtupu mmeona ya diamond2, mamaaer nyie
Wasengeli tu hao..wivu dooocom..huyo dimpozi bwabwa...nyimbo kaishiwa kazi kuonyesha dimpozi tu km demu.....
Kawaida ndio hivyoo ukiwa umeloose unaropokwa tyyyuuu....wakafie mbele hukooo
 
Mafanikio ya chibu yanawauma wengi kumbe
Wanatamani kam afe leo.....
Na iikitokea katoweka duniani..he will still be diamond hata makumbusho sanamu lake litawekwa cz ndio msanii pekee aloitambulisha tz nje ya nchi...hao matako waende zao
 
Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda.
Ulitaka awe mkenya?,mzungu?
Wivu tu unawasumbua akiongea yeye mnamwita mswahili wakiongea wengine wao wazungu eti!!??
Hapo chacha hivi mtu mutie vidole machoni masikioni awaangalie tyyu...nae binadamu anaumiaa
 
Hivi haka ka jamaa mbona kaswahili sana,,Au hapo alipofika kimafanikio bado tu aamini. Anaongea pumba tu cloudz FM anatoa povu povu tu.

Et Tuanze show mkali nani ....mi najua we Alikiba haumuwezi hata mkianzisha hako ka Tour...Ommy eeehh muonesha kama we ni kidume anaza kumkanyaga yule naniii wake....M.k.u.le
Pia mm mswahili kwasabu najua kiswahili
 
Hivi haka ka jamaa mbona kaswahili sana,,Au hapo alipofika kimafanikio bado tu aamini. Anaongea pumba tu cloudz FM anatoa povu povu tu.

Et Tuanze show mkali nani ....mi najua we Alikiba haumuwezi hata mkianzisha hako ka Tour...Ommy eeehh muonesha kama we ni kidume anaza kumkanyaga yule naniii wake....M.k.u.le
Ila ww yalikuja vizuri emekua mzumgu
Mburula ww
 
Back
Top Bottom