Maisha Mazuri yakija kwa Bahati mbaya ukubwani lazima uwe mswahili kama Diamond

Wakuacha

JF-Expert Member
May 19, 2015
2,041
1,323
Hivi haka ka jamaa mbona kaswahili sana,,Au hapo alipofika kimafanikio bado tu aamini. Anaongea pumba tu cloudz FM anatoa povu povu tu.

Et Tuanze show mkali nani ....mi najua we Alikiba haumuwezi hata mkianzisha hako ka Tour...Ommy eeehh muonesha kama we ni kidume anaza kumkanyaga yule naniii wake....M.k.u.le
 
Ngoja nikuongezee na video ya maneno uliyoyaacha kwa makusudi,USIACHE KUANGALIA HII VIDEO, KISHA KANUSHA KAMA ALICHOKISEMA SI KWELI.
 
Hivi haka ka jamaa mbona kaswahili sana,,Au hapo alipofika kimafanikio bado tu aamini. Anaongea pumba tu cloudz FM anatoa povu povu tu.

Et Tuanze show mkali nani ....mi najua we Alikiba haumuwezi hata mkianzisha hako ka Tour...Ommy eeehh muonesha kama we ni kidume anaza kumkanyaga yule naniii wake....M.k.u.le

Wakome Waswahili, Waswahili ndiyo waliokupa lugha unayoiongea leo.

Mbona huongei kikwenu.
 
Paka akiwa mnene=Paka wa kizungu

Paka akikondeana mchafu=paka wa kiswahili

Mbwa akiwa na manyoya mazuri-mbwa wa kizungu

Mbwa akiwa mbaya-mbwa wa kiswahili

Mtu akiwa smart,tabia nzr -jamaa mzungu yule hana uswahili kabisa

Mtu mwenye tabia mbovu -ana mambo ya kiswahili Swahili

Mtu akiongea kiingereza-anaonekana smart,ana akili

Mtu akiongea lugha mama-anaonekana hajui,mshamba nk

Kitu chochote kibaya kinapewa jina la uswahili,kitu kizuri kinapewa uzungu

Inferiority complex
 
Kama vijana watanzania tunafikiria kama huyu jamaa, mafanikio na maisha mazuri tutayasikia kwenye radio. Wewe Wakuacha maisha mazuri yanatafutwa hayaji kwa bahati mbaya na hata yakija kwa bahati mbaya lazima uwe na discipline ya hali ya juu kumaintain hayo mafanikio na kujituma zaidi, hivi hujuulizi kwanini Kuna baadhi ya watoto wameachiwa mali kibao lkn baada ya kipindi kifupi wakawa masikini. Please change your mind from now la sivyo utakuwa kila siku mtu wa kulalamika, ukishamaliza hapo utanza kuwachukia waliofanikiwa. Sasa ukishafikia levo ya kujenga chuki, unayakaribisha magonjwa na unazifukuza neema na baraka za mungu, kwani mungu anawapenda watu ambao mioyo yao imejaa upendo mwisho wa siku umasikini unakuvaa. Badiliko mafanikio huja kwa kujituma, kupenda kile unachofanya na Kuwa na nidhamu ya matumizi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom