Maisha kwa majirani

Maisha kwa majirani

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
1752400470820.png


Ikiwa kwa jirani wana maisha haya, na wewe unayewaangalia unachekelea, kesho keshokutwa, itakuwaje ikifika zamu yako?
Matukio mengine ya kukemea. Mtu anahangaika na kula tuuuu, wenye hela wanahangaika kumtoa uhai. Hawa kina mama walikosea nini hasa!
 
Back
Top Bottom