1.Unachotaka hukipati (MAPENZI)
2.Unachokipata hukifurahii
(NDOA)
3.Kinachokufurahisha hakidumu
(BOY/GIRL FRIEND)
4.Kinachodumu kinakera
(MUME/MKE)
5.Chenye thamani kinadhalilisha
(FEDHA)
6.Kinachodhalilisha kinapendwa
(NGONO)
7.Kinachoogopwa hakina maandalizi
(KIFO)
8.Kinachoandaliwa hakiendelei
(UHAI)
9.Vyakuzingatia havizingatiwi
(IBADA)
10.Vinavyozingatiwa havina maana
(SIASA)
source:unknown
1.Unachotaka hukipati (MAPENZI)
2.Unachokipata hukifurahii
(NDOA)
3.Kinachokufurahisha hakidumu
(BOY/GIRL FRIEND)
4.Kinachodumu kinakera
(MUME/MKE)
5.Chenye thamani kinadhalilisha
(FEDHA)
6.Kinachodhalilisha kinapendwa
(NGONO)
7.Kinachoogopwa hakina maandalizi
(KIFO)
8.Kinachoandaliwa hakiendelei
(UHAI)
9.Vyakuzingatia havizingatiwi
(IBADA)
10.Vinavyozingatiwa havina maana
(SIASA)
source:unknown
kweli kabisa ila mhhhhhhh
1.Unachotaka hukipati (MAPENZI)
2.Unachokipata hukifurahii
(NDOA)
3.Kinachokufurahisha hakidumu
(BOY/GIRL FRIEND)
4.Kinachodumu kinakera
(MUME/MKE)
5.Chenye thamani kinadhalilisha
(FEDHA)
6.Kinachodhalilisha kinapendwa
(NGONO)
7.Kinachoogopwa hakina maandalizi
(KIFO)
8.Kinachoandaliwa hakiendelei
(UHAI)
9.Vyakuzingatia havizingatiwi
(IBADA)
10.Vinavyozingatiwa havina maana
(SIASA)
source:unknown
1.Unachotaka hukipati (MAPENZI)
2.Unachokipata hukifurahii
(NDOA)
3.Kinachokufurahisha hakidumu
(BOY/GIRL FRIEND)
4.Kinachodumu kinakera
(MUME/MKE)
5.Chenye thamani kinadhalilisha
(FEDHA)
6.Kinachodhalilisha kinapendwa
(NGONO)
7.Kinachoogopwa hakina maandalizi
(KIFO)
8.Kinachoandaliwa hakiendelei
(UHAI)
9.Vyakuzingatia havizingatiwi
(IBADA)
10.Vinavyozingatiwa havina maana
(SIASA)
source:unknown
Tetra ni mkurya bwana, huoni hata jina na majina ya nduguze mengi hayakosi konsonati "r"?duh kama kweli ngoja niendelee kutafakari...nahisi kwenye heading ulikusudia kuandika ladha badala ya radha...