Maisha haya wewe ishi kana kwamba utakufa kesho

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,422
3,392
Rafiki yangu kipenzi alikuwa mshauri mzuri sana katika mambo ya kupanga bajeti, na pesa take hakupenda kuichezea kabisa. Nilikuwa sipatani naye kwa hilo, kwani Mimi nimtumiaji na ni mtoaji, huwa nikimsaidia MTU najisikia furaha sana ila sipendi kuombwa ombwa, napenda nitoe mwenyewe.

Sasa rafiki yangu huku ilifikia hadi ndugu akachuniana nao kuwa wanarudisha maendeleo nyumba, kweli akafanikiwa kujenga nyumba kubwa ya kisasa. Nasikitika kusema hakuikaa hata miaka miwili alishafariki, wale ndugu ndo wako mle wanaselebuka, maisha ni fumbo na mungu huamua mambo yake anavyotaka yeye.
 
Kwa kilichompata rafiki yako hii sio stori ya kusimulia watu unaonesha ni jinsi gani ulivo.
Anyway badilika.
 
We jamaa kila siku mastori yako ya hivi hivi tu.Mara yule mwenye ngoma mara huyu na next time utakuja na mwingine.
Halafu sasa zote ni chai tu!
 
😂😂
Leo utaelewa tu mweka mada tulia upokee michambo yako..😅
Tulia hivyohivyo mi napita tu sitii neno..
 
Basi hapo wafurahi rafiki yako kudanja..!! ...alafu ulikuwa wamuona bonge la boya kumbe wewe ndiyo boya.
Binadamu bwana
 
Ulikuwa hujajua kwamba tunaishi kwa ajili ya watu wengine...wewe piga mijengo hata kumi ukidanja wataishi watu wengine, mke, watoto, ndugu, jamaa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom