road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,011
- Thread starter
- #61
Bumkin au pumpkin !?? Una maanisha bonga!??Ukielewa tofauti utaelewa kwa nini nilikuwa naandika "Magufuli is a country bumpkin".
Bumkin au pumpkin !?? Una maanisha bonga!??Ukielewa tofauti utaelewa kwa nini nilikuwa naandika "Magufuli is a country bumpkin".
Samia anaujua ung'eng'e kuliko bwana yule au hujui!??Kwani ccm Samia na mwenda zake kuna utofauti wowote?
Weka picha LA kambaleaisee ile kambale ilikua katili sana.
Ndio tofauti yao hiyo?Samia anaujua ung'eng'e kuliko bwana yule au hujui!??
Hata ikija poa tuuu ila jiwe hayuposiku 100 ni nyingi mno.
bado lockdown haiko mbali nayo inatakiwa iwe imetokea kabla ya siku 150.
Bora ifufuke kuliko uwepo wa jiwe aiseeMkono wa mkwere huo..
Hii furaha tutailipia kivingine tu...
Timu imefufuka upyaaaa...
Baniani mbaya kiatu chake dawa wanasema....
Haliwezi kuzidi "swabaya" kushikishwa ukuta aiseeeYaani Hilo ndio kubwa kuliko yote!!!
Mm niliomba sehemu ya kusini nifugie nguruwe ombi halijajibiwaWananchi wanaomba kutumia uwanja wa Chata kwa ajili ya kuanikia mahindi na mihogo
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Niache nishanga kuna watu walidhani wao ni Miungu aiseeHuna haja ya kushangaa kwasababu maisha ni gurudumu.....!
dsm ana nyumba hajapanga,wala haishi kwa mama yake kama wewe.Mkewe nae katia nanga dar ,hashindi dodomya wala kwao kijijini.
Na walikuwa miungu kweli....Niache nishanga kuna watu walidhani wao ni Miungu aisee
Bumpkin.Bumkin au pumpkin !?? Una maanisha bonga!??
Labda kashatorokaSijui anajisikiaje huko aliko!
Hauna vigezo vya kumpongezaSamia na ccm mbele kwa mbele
Vigezo ni vipi?Hauna vigezo vya kumpongeza
Ulikua unampongeza mnyang'anyi sasa una mpongeza tena anayefuta unyang'nyi kua consistent mzee kama muovu ,muovu tu au utu wema wema tuVigezo ni vipi?