Maisha halisi nchini Marekani

Pamoja na mazuri yote nyuma ya pazia wamarekani wametengeneza system mgeni una kamuliwa mpaka unabaki makapi hence lazima uwe na kiasi or rat race inakuhusu.
 
Mabilionea wamejanzana mijini, nyie huko chato mbona hatuoni makampuni yakishamiri?
Usichokijua labda ni kwamba hao mabiliobea wengi pesa wanatafutia hukohuko mikoani unakokudharau..

Mfano mdogo tu, wabunge asilimia kubwa wakipata Ubunge wanahamia Dar. Hata matajiri pia, wengi wanavuna pesa mikoani na kuamia Dar. Ila bado msingi wa shughuli zao wanazifanya hukohuko mikoani..
 
Kuna mkoa wenye viwanda na makampuni makubwa Tz kama Dar? Inafuata Pwani au Moro.

Mabenki makubwa yote yapo dar, taasisi za kimataifa zipo dar, njia panda ya ulaya ipo dar.

Mtu aondoke Marekani aje kulima njegere chato. Kisa fursa.
Kama market kwann asilime.
Kwani madini yapo dar
 
Tatizo ukiugua, halafu siamini kuwa katika miaka sita uliyokaa Marekani umeweza kuwekeza huku nyumbani,basi ulikuwa muuza sembe bila shaka,kwa kazi ipi hadi miaka 6 uwekeza home,umesoma muda gani hadi kuwa professional mwenye wage ya uhakika


hiyo hapo ni malipo yangu ya kazi kwa muda wa wiki pili, fikiria kila baada ya wiki mbili nipe napata hiyo pesa muda wa mwaka mmoja nitashindwa kuwekeza marekani.

Bima za afya hata kazini kwako.

Alafu ukienda hospital huna bima, kuna mashirika mengi yanaweza kukulipia ila hii ni kwa watu wenye kipato kidogo. kama kipato chako kinalipa kwanini usichukue bima hata $50
 
Ushauri mzuri.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mtu ameandika kabisa No Pm sasa usichoelewa ni nini?

Halafu hebu punguza munkari, tafuta pesa kwanza, hela huna halafu unataka uende Marekani unaendaje?

Tena sasa hivi ubalozi wa Marekani wanatowa viza kama njugu.
Huyu jamaa huwa uelewa wake nautilia mashaka sana.
 
Mkuu,hivi nikitoka Tz na Elimu yangu ya Masters nije hapo Bondeni Kuna kazi naweza kufanya itakayo niwezesha kuishi Bondeni vizuri ?
 
Mkuu,hivi nikitoka Tz na Elimu yangu ya Masters nije hapo Bondeni Kuna kazi naweza kufanya itakayo niwezesha kuishi Bondeni vizuri ?
Sheria za hapa ni ngumu kidogo kwa mgeni kuja na vyeti vyake hapa akapata kazi na ukizingatia hawa jamaa ni wabaguzi sana. At least uwe umesoma shule zao na kupata vyeti vyao hapa. But kwa upande wa private sector unaweza kubahatika kuangukia kwenye kampuni ya mzungu akakuajiri kutokana na taaluma yako ukapiga pesa ndefu.
 
V
Vipi wewe unaeelewa,unaiunga mkono life style hiyo ya ushoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…