Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 482
- 681
Usione watu wanapita pita mitaani ukadhani wana raha,
Usione watu wanasulubika mitaani ukadhani walishapataa,
Maisha yanatisha, maisha yanaumiza jamaani,
Maisha yanatisha maisha yanaumiza moyoni,
Verse:
Ona akina dada waliosimama wanajiuza,
Ona akina kaka wanaitwa mapusha,
Wanatafuta maisha, wanatafuta maisha,
Maisha magumu ajabu, maisha ya tabu,
Maisha yenye nyingi ghadhabu, hasira kibaooo oohh Mungu wangu,
Sio kama wamependa, sio kama wamependa,
Hakuna jinsi ya kutafuta, wakaona poa tu bora kupata,
Wameshakata tamaa na umaskini uliokomaa,
Wanaona vingi watakuja kutoka kimtaa,
Wanaona vingi life litajipa waje kuishi kwa furaha.