Maisha bora kwa kila CCM





Maisha bora kwa kila Mtanzania. Hio ni nyumba ya mmoja wa mwanachama wetu. Mara baada ya Uchaguzi tutamjengea

hii ni nyumba au chumba? bado Taifa linapambana na maadui zake WATATU!, ufisadi, ukabila na udini
 
Baada ya nyumba ni Kisima cha maji!! Ila na BArabara nayo inahitajika!Na shule nayo! Soko je! na na na na ..... Mzee wa ahadi upo!!
 
Good Mzizi Mkavu, haya ndio maisha halisi ya watanzania walio wengi, mtu anakuja awaahidi uwanja wa ndege wa kimataifa, hana maji, zahanati, shule, barabara, Ahhhai siajabu akapigia kura hizo ahadi zisizotekelezeka!!
Badu safari ni ndefu na ngumu,
Maosha bora kwa kila mwanasiasa!!
 
Bado safari ni ndefu!kwanza kabisa inahitajika elimu ya kutosha ili kumuwezesha mtanzania ajitambue!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ili tuendelee tunahitaji kuwatokomeza maadui 3 nao ni:
  1. Ujinga
  2. Umasikini na
  3. Maradhi.
Lakini ili tutoke hapa tulipo tunahitaji Kupambana na Kuwang'oa CCM ili tuondokane na virusi hivi:
  1. Ufisadi
  2. Udini
  3. Ukabila.
Tarehe 31-Oktoba-2010 ndo siku yakutokomeza Maadui hao hapo juu!!!!
 




Maisha bora kwa kila Mtanzania. Hio ni nyumba ya mmoja wa mwanachama wetu. Mara baada ya Uchaguzi tutamjengea

Hapa ni katikati ya Ruvu na Chalinze uoto wa mimea, mimea asili na namna ya nyumba inaonyesha hivi. Can we go on guessing.

Mzizimkavu sir, tunaomba utuambie hayo ni maeneo gani ili.
 
Mwabieni kikwete aishi hapo kwa wiki moja tu.....:A S-devil1:
na nyumba imesha rembwa kwa ajili yake...
 
Back
Top Bottom