Soma na uelewe usikulupuke,,kuna sehemu nimesema nilikuwa naposti?humu zamani watu wamepona magonjwa,,watu walipata ushauri ,,watu walipata kazi kupitia humu,,siku hizi mtu analeta habari za akina Giggy money na mwijaku
Jf ilikuwa zamani jamani,,,kulikuwa na madini yakutosha,,,ulikuwa unapata story ,ushauri na watu walijitoa sana,,,ila siku hizi naweza nikakaa miezi nisikumbuke kama kuna Jf
Mi bado ni mpya kabisaa,hivi niwaulize nyie wazoefu wa kupigwa ban,uwa ni kipi chapelekea kupigwa ban?,na admin wa jf ni kina nani hasa?,naipenda sana jf,miaka ya nyuma nilikuwemo humu lkn kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu,nilitoweka Kama miaka sita sasa imepita ndo narudi tena,mungu akijaalia ntakuja kutoa ushuuda wangu humu,manufaa gani nilipata wakati huo kwa kujiunga na jf,ngoja nitulie kwanza