Vipi nchi yenu saivi ina hali gani ?Huyu mkwere hii ndo kazi iliyokuwa inamfaa sio kuja kutuharibia nchi yetu.
Imeona eeh. Watu hawakuacha akiba ya manenoVipi nchi yenu saivi ina hali gani ?
........Mkuu unanionea haya kweli yalikuwa maneno yangu ila angalia na wakati nilipoyaongea.Vipi nchi yenu saivi ina hali gani ?
Imeona eeh. Watu hawakuacha akiba ya maneno
.watu walikua na higher expectation kwa jiweHahaha.mkuu inabidi utubu sasa.haraka mno........Mkuu unanionea haya kweli yalikuwa maneno yangu ila angalia na wakati nilipoyaongea.
Wote tupo ktk dilemma hatukutegemea haya anayoyafanya Ngosha yaani imekuwa kama surprise.
Hiyo sasa kazopata,kazozenga.Natamani wataifishwe tu under Proceed of Crime Act.
hii comments yako imenikata usingizi kabisa........Mkuu unanionea haya kweli yalikuwa maneno yangu ila angalia na wakati nilipoyaongea.
Wote tupo ktk dilemma hatukutegemea haya anayoyafanya Ngosha yaani imekuwa kama surprise.
uli accept rule zao mpyaWakuu mbona nikikogin jamiiforum kwa kutumia application sipati kuona kitu na inainyesha hakuna kitu ni empty