Maisha baada ya Magogoni

Maisha baada ya Magogoni

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,230
Reaction score
68,257
attachment.php
 

Attachments

  • 8E9U4434.JPG
    8E9U4434.JPG
    89.9 KB · Views: 3,888
Vipi alienda kutembelewa na mzee white hair
ili ajifunze namna ya ufugaji bora..??
 
duh! kumbe inawezekana, hii itakua msoga nasubiri ya monduli. ila mkuu kuwaomyesha hao jamaa wavaa shuka ng'ombe zako ni hatari kuliko maelezo.
 
Daa..hao NG'OMBE afya yao mbona kama mgogoro , hebu tizama kwa makini
mimi naona kama wana upungufu wa nyama mwilini mwao kama wale ng'ombe
wa kule kongwa.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Huyu mkwere hii ndo kazi iliyokuwa inamfaa sio kuja kutuharibia nchi yetu.
 
Hilo Banda Si Ngapi?


Sijui kama hawajamfisidi...sio ajabu likawa limecost 30mill but alipoambiwa akaishia kukenua meno,ye kucheka tu ndicho anachokijua...kaacha uozo wa ajabu serikalini saiv ndo mwenzake anakukuruka kuuondoa.
 
Hiyo afya za hao ng'ombe bila shaka wafanyakazi wanamchakachua.
 
Mpendwa jakaya bana! Amekaa kimaigizo maigizo na usanii usanii sana!! Sasa hapo mkwere anamuelekeza Mmasai masuala ya ng"ombe!!! Hahaha!! Alipata 80%, halafu Brother Magufuli akapewa 58%!!! Wa Tz wanahitaji uchunguzi wa Kimaabara kujua vichwa vyao vikoje
 
Back
Top Bottom