witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,710
- 47,099
Sikuuzi hata kidogo rafiki kuwa na amani
Ha ha ha mara moja sasa!...vile vilio sasa hivi nimeshakuwa sugu! Hata sioni kipya kwenye mapenzi
Haha sawa maana nikahofu msijekuwa mmeenda chemba kupatana beiSikuuzi hata kidogo rafiki kuwa na amani
Haha nimeona unashangaa sanaHa ha ha mara moja sasa!...vile vilio sasa hivi nimeshakuwa sugu! Hata sioni kipya kwenye mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha. Hakika baada ya kupatana nae ningerudi kuja kukutonya amefika kiasi gani. Kwani shin ngapi???
No sijashangaa, nilichoshangaa ni duration
He wiki mbili ndo unafikiri kwamba anaona umuhimu wako?Hello?
Baada ya muda mrefu wa masikitiko ya kuachwa na aliyekua mpenzi wangu leo ninaandika nikiwa na furaha na amani.
Kiukweli nilipoachwa niliumia sana. Niliwaza, nikaomba msamaha, nikaomba ushauri huku na kule, nikaomba na kufunga ex wangu arudi. Na kweli, kumuomba misamaha na kuhangaika kumtafuta kila mara kulinifanya niache mlango wa yeye kurudi na kuondoka alipotaka.
Nilimpa uhuru huo. Alirudi mara kwa mara na aliondoka kila alipojisikia. Kwa kua nilimuonyesha kua sina upinzani juu yake.
Aliweza kununa pasipo na sababu ya msingi na kuniblock hata kama sijamkosea.
Mara ya mwisho, nilimwambia sihitaji tena mahusiano yasiyoeleweka. Kama ananipenda tutulie na kuweka malengo. Kama hataki tubaki marafiki tu. Kwa kua alijua sina upinzani nae tena, akaamua kuondoka. Akijua wazi nitamuomba msamaha na ataendelea na tabia ya kuja na kuondoka.
Nilikaa chini kujifikiria wapi nakosea. Kitu gani kinamfanya yeye anidharau nk.
Nikaamua jambo moja. Kufocus kwenye maisha yangu. Kutomtafuta tena katika maisha, kufanya mambo yangu ya msingi kwa ajili ya maisha yangu na kuhangaika na dreams zangu.
Tuna miaka mingi toka tulipokua pamoja. Katika muda wote huo haijawahi kutokea hatujawasiliana nae. Hata akiniblock nimezoea kumtafuta kwa msg au mitandaoni.
Nadhani alijua siwezi fika wiki 1 bila kumuomba msamaha.
Mungu amenisaidia. Amenipa marafiki na ndugu wanaonipenda. Kwa kiasi kikubwa nimeweza kuwa busy na kumsahau taratibu.
Baada ya wiki 2 yeye sasa ameanza kunisumbua kwa msg na calls.
Wadada na wakaka, ni lazima tujue thamani yetu kwanza kabla ya kutaka mtu baki akuthamini. Kosa langu lilikua kumuonyesha kuwa bila yeye siwezi ishi, Sina maisha mengine zaidi ya yeye. Thamani yangu nikaishusha. Maana kama anaweza kumpata yeyote, What makes me unique? Vipi aone thamani yangu wakati mwenyewe siioni?
Wale ambao mnapitia changamoto kama yangu, tafadhali jifunze kupitia mimi. Muda ni wa thamani. Kama hujashtuka mapema unaweza jikuta unakaribishwa kwenye harusi na mtu ambaye unadhani ndio mume wako. Ni bora akuache au akukubali ijulikane moja. Kukaa mguu ndani mguu nje inapoteza muda na kujibebesha shida tu. Nawasilisha.
Mimi mwanzo nilikua hivyo,,,baadaye nilivyofanikiwa kuondoka ndo ikawa Basi TenaMtoa mada umesema zimeisha wiki mbili? Bado, kitakuja kipindi cha kummisi huyo fala utakuwa unatamani umpigie ila ukipita hapo umeshavuka. Am going through the same shit right now
Sent using Jamii Forums mobile app
KageMimi mpaka anaoa ndo nikaamini kweli nimeachwa. Tangu2016 mpaka leo sitamani mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!.Mtoa mada umesema zimeisha wiki mbili? Bado, kitakuja kipindi cha kummisi huyo fala utakuwa unatamani umpigie ila ukipita hapo umeshavuka. Am going through the same shit right now
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Haha hata usinipe pole maana nilitengeneza mwenyewe mazingira ya kuachwa... Niliona mahusiano hayawezi kuenda popote kupotezeana muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha endeleeni kupatanaHahahahahahaha. Hakika baada ya kupatana nae ningerudi kuja kukutonya amefika kiasi gani. Kwani shin ngapi???
Kisha unapata mwingine tena unatengeneza mazingira muachane then the cycle continue. Utapata tabu sana. Bora kushikilia hapo hapo
Ha ha ha mara moja sasa!...vile vilio sasa hivi nimeshakuwa sugu! Hata sioni kipya kwenye mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha huwezi kunielewa hata nikikuelezea kwa hiyo tuyaache yabaki hivyo hivyoKisha unapata mwingine tena unatengeneza mazingira muachane then the cycle continue. Utapata tabu sana. Bora kushikilia hapo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app