Maintenance free batteries !

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Nimepata kusikia hizi battery ambazo hazitiwi maji zikizeeka au kushindwa kufanya kazi katika gari inawezekana kuzi restore,kuzipa uwezo wa kufanya kazi tena.Huwa zinafunguliwa kwa juu na kuongezwa kemikali ambayo huongeza muda wa matumizi.Mwenye taarifa zaidi ruksa kutiririka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…