Nawashukuru CHADEMA kwa changamoto yao katika siasa, maana kwa kufanya hivyo wamefungua hoja nyingi za watu zinazoonyesha ufahamu wao wa demokrasia. Inaelekea watu wengi, kama huyu mtoa maoni, haelewi mchakato mzima wa demokrasia unakwendaje. Watu wengi bado wanatawaliwa na fikra za udikteta wa chama kimoja, kutukuza viongozi na utamaduni wa 'ndio mzee'. Nina hakika wakati utafika ambapo sote tutakuwa tunaielewa na kuitekeleza demokrasia halisi kwa maendeleo ya nchi yetu na wananchi wote kwa ujumla.Tarehe Thu Nov 18, 09:28:00 PM, Mtoa Maoni: MAINA ANG'IELA OWINO
CHADEMA mtindo huu wa Siasa za Shangwe umepitwa na wakati hasa ktk Taifa lenye uchumi unaohitaji changamoto za mawazo ya kusonga mbele.
Hii ni kushiriki Demokrasia isiyo na NIDHAMU hasa kwa Watanzania waliowatuma kuwawakilisha BUNGENI.
Watanzania mliowachagua hawa ndugu mjue imekula kwenu maana wao mishahara watavuta kutoka kwenye KODI zenu.
Kwa kweli vijana wenzetu bila kujali ITIKADI ya vyama, sikutegemea hata wewe Zitto, Halima Mdee,Mnyika na Vincent Nyerere kuwakebehi wananchi waliowachagua nyinyi na Rais Kikwete kwa kuondika nje ya BUNGE lao tukufu.Hii ni HAKI yenye AIBU.
Siamini kama mlimshirikisha Mhe. Mabere Marando kusaini mishahara yenu na kwenda kupunga upepo kwa ufahari nje ya Bunge wakati linafunguliwa rasmi.Haya yangefanyika kwenye jukwaa la kongamano au siasa za halaiki.
Bila shaka hamkutaka kusikia na kukubaliana na wito wa Rais kuwa nyinyi wabunge mtumie muda mwingi kuwasikiliza wananchi.
Je,mtatoka mara ngapi?.
Na kwa idadi yenu mtaathiri maamuzi ya Bunge kwa utaratibu wake kusaidia wananchi kwa kiasi gani?
Kwa shida na mahitaji ya wananchi bado wana wakati wa kusikiliza utetezi wa ilani ya chama cha siasa au utekelezaji wa Serikali ya Chama kilicho madarakani.
Mhe. Lisu,kaka yangu msomi, hizi siyo mbinu ktk harakati za mabadiliko ya kisasa.Nchi yenu ilizitupilia mbali hata wakati wa kudai UHURU. Nilidhani unazijua na utawaongoza wenzio vizuri kwa mbadala angalau wenye mkakati...
Halima Mdee, nisikilize kwa makini. Tanuru unalopita limeziba mbele na mwanga uonao ni moto mkali. Hujafika mbali Geuza mkakati,maana nyota yako ktk siasa za kitaifa hazifai kuchomeka kizembe kwa kuongozwa na vipofu wa mkakati ulioshindwa kabla haujaanza.
MAINA ANG'IELA OWINO.
(SOURCE:MICHUZI BLOGSPOT)
Tarehe Thu Nov 18, 09:28:00 PM, Mtoa Maoni: MAINA ANG'IELA OWINO

He is one of the most corrupt DARUSO fisadis. Him and his cronies Maimu and Mafuru introduced the cult of selling rooms at UDSM, of course their cheprone being Mrs/Ms baliWho the hell is Maina Owino and why should we care what he thinks?