Maimartha wa Jesse na bwana yake watapeli mamilion ya pesa

Sikonge;308160]
Na kwa taarifa yako ni kuwa siku nikija Dar, nakuja na MIWANI yangu Special na ntakuja niwapekue wewe na huyo Mambo Jambo aka Ushirombo aka Maimartha.
Angalia usiivae mbele ya wazazi wako
 
Last edited:
Maimartha na Bwana Wake Puff Daddy ni matepeli wakubwa. nyepesi nyepesi zilizonifikia ni kwamba Bwana yake Maimartha alikopa pesa kwa shangazi yake (10,000,000) ili kuendesha Tamasha la Kimwana wa Twanga apo mwanzoni mwa 2007. mpaka leo amekataa kuzirudisha izo pesa. Sakata hilo lilifika Police Oysterbay lakini yeye Puff akakataa kabisa kukubali kuwa hizo pesa alipewa. Vyanzo vya habari vinaonyesha kuwa Maimartha na Bwana Yake wamekuwa awkionyesha dharau kubwa sana kwa shangazi huyo kwa kukataa kumsalimia kabisa.

Habari ndio hiyo

Naona hii habari ni UDAKU upelekwe kwenye magazeti ya UDAKU kwa JF haitufai
 
Maimartha na Bwana Wake Puff Daddy ni matepeli wakubwa. nyepesi nyepesi zilizonifikia ni kwamba Bwana yake Maimartha alikopa pesa kwa shangazi yake (10,000,000) ili kuendesha Tamasha la Kimwana wa Twanga apo mwanzoni mwa 2007. mpaka leo amekataa kuzirudisha izo pesa. Sakata hilo lilifika Police Oysterbay lakini yeye Puff akakataa kabisa kukubali kuwa hizo pesa alipewa. Vyanzo vya habari vinaonyesha kuwa Maimartha na Bwana Yake wamekuwa awkionyesha dharau kubwa sana kwa shangazi huyo kwa kukataa kumsalimia kabisa.

Habari ndio hiyo

Hii imekaa ki-kitchen sink newz. This is family affairs usikute mambo ya mirathi hayo yamegeuzwa.
 
Back
Top Bottom